kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.