kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
View attachment 2487736
How did she become so clever so quickly?Katoa majibu ya kawaida sana kwa swali gumu
Ingekuwa maendeleo yanakuja kwa kuzungumza na kuhudhuria sana makongamano Tanzania ingeingia uchumi wa kati na wa kwanza enzi ya Kikwete.