Alicom wa Selina hii Ngoma ilibamba sana enzi hizo

Alicom wa Selina hii Ngoma ilibamba sana enzi hizo

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Miaka Ile wimbo wao ulibamba sana😊😊
Alicom na Celina_wapambe

Katika pita pita nimesikia uki pigwa
Enzi izo ulikua moto Africa mashariki na kati🌍🌍
Jamaa sijui yupo wap Kwa Sasa...
"Wapambe tusi wakubali.....// Selina wangu we kimwana...// Unizalie na wanaa...
Wewe ulikua wap enzi izo..😊😊🤓🤓
 
alicom anao wimbo unaitwa moyo jamaa alikuwa na kipaji kikubwa
 
alicom anao wimbo unaitwa moyo jamaa alikuwa na kipaji kikubwa
Ukanifanya nipende pasipopendeka
Uwezo wang hautosh kununua hata sofa
Nifanye nn mimi ni fukara sina pa kula sina pa kulala

Kitambo hyo miziki tulikuaga tunaangalia channel ten au star TV kwny bonga na star mda huo unasubir kuangalia tamthilia ya tamaa😁😁
 
Wasanii wa zamani wa Bongo fleva walikuwa wanajitahidi sana kwenye kutengeneza mashairi yenye ujumbe wa kueleweka kwenye jamii ya wakati huo.

Siyo hawa wa sasa wanaowekeza nguvu zao nyingi kutunga nyimbo zenye kuhamasisha unywaji wa pombe, ushoga, na ngono zembe.
 
Back
Top Bottom