Alicom wa Selina hii Ngoma ilibamba sana enzi hizo

Alicom wa Selina hii Ngoma ilibamba sana enzi hizo

Wasanii wa zamani wa Bongo fleva walikuwa wanajitahidi sana kwenye kutengeneza mashairi yenye ujumbe wa kueleweka kwenye jamii ya wakati huo.

Siyo hawa wa sasa wanaowekeza nguvu zao nyingi kutunga nyimbo zenye kuhamasisha unywaji wa pombe, ushoga, na ngono zembe.
Yaan Kuna nyimbo mpk Leo Zina ishi yaan kama zimeimbwa Leo....
 
Miaka Ile wimbo wao ulibamba sana😊😊
Alicom na Celina_wapambe

Katika pita pita nimesikia uki pigwa
Enzi izo ulikua moto Africa mashariki na kati🌍🌍
Jamaa sijui yupo wap Kwa Sasa...
"Wapambe tusi wakubali.....// Selina wangu we kimwana...// Unizalie na wanaa...
Wewe ulikua wap enzi izo..😊😊🤓🤓
alicom.jpg

=
 
kwenye video jamaa alimpapasa bidada,
mpaka nikamuonea donge kwa kweli
Mume wa Mishi alipoiona hiyo video alikasirika sana akampiga marufuku kushiriki video nyingine na kumuhamishia Arabuni
Kwa kuimba huyu bi Dada sikuona wa kumfikia
 
Mume wa Mishi alipoiona hiyo video alikasirika sana akampiga marufuku kushiriki video nyingine na kumuhamishia Arabuni
wengi huwa wanaweka vixen ashikwe shikwe weeh
jamaa ana taka ku tongue kiss, dem anakwepa 😅
kila nikiangalia ile video, kiukweli I am pitching a tent in my pant
 
img_1_1678537821379_1.jpg

Hii nimeitoa mtandaoni alicom na mishi..

Umri umeanza kumtupa dada etu..

Ila Alicom still Bado kabisa...
 
Wasanii wa zamani wa Bongo fleva walikuwa wanajitahidi sana kwenye kutengeneza mashairi yenye ujumbe wa kueleweka kwenye jamii ya wakati huo.

Siyo hawa wa sasa wanaowekeza nguvu zao nyingi kutunga nyimbo zenye kuhamasisha unywaji wa pombe, ushoga, na ngono zembe.
Ndo dunia ya sasa iko ktk peak ya ushoga, ulevi na ngono za kimaskhara. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom