Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Jamaa alikua mkal sana Celina by 2003 iligeuka wimbo wa taifaa...Alicom yuko Norway now
Alaf jamaa hata ongea yake yupo very humble to the earth πAlcom nlikuwa naye Kinondoni B mwaka 2015
Jamaa yuko hamble sana aliamua kuacha music akajikita na maswala ya Ibada
Ukanifanya nipende pasipopendekaalicom anao wimbo unaitwa moyo jamaa alikuwa na kipaji kikubwa
Sure mkuuAlaf jamaa hata ongea yake yupo very humble to the earth [emoji289]
Siku hazigandi for sure [emoji4][emoji4]
Balaa..π€ beat za zamani zilikua balaa...midundoBiziman amechalaza kinanda hatari humo ndani. Hatari
Miaka iyo iligeuka wimbo wa taifaaJamaa namuelewa Sana.
Ndomana miziki yao inaishi hadi leoWasanii wa zamani wa Bongo fleva walikuwa wanajitahidi sana kwenye kutengeneza mashairi yenye ujumbe wa kueleweka kwenye jamii ya wakati huo.
Siyo hawa wa sasa wanaowekeza nguvu zao nyingi kutunga nyimbo zenye kuhamasisha unywaji wa pombe, ushoga, na ngono zembe.