Alie jiposti status akiwa chini ya kifusi ameokolewa

Cha ajabu hakuna Mwanamke hata mmoja alieshiriki kwenye kumchomoa huko kwenye kifusi wote walioshiriki ni Wanaume
 
Maagizo tu haya, unahangaikia maisha yako halafu upige picha namna hii? Hujui kufa nini?
 
Ooh huenda, sasa na mtu akizaliwa ataambiwa auze za kike sababu kazaliwa na mwanamke 🙄🙄🙄🙄
Mimi nadhani alimaanisha kwa Imani yake. Maana aliendelea kitu kama aione pepo, kumrudia Muumba wake, kamuokoa.
Hivi ni kweli mwanamke anazaa pekee pasipo msaada wa mwanaume?

Lakini yote na yote naona wanawake wana msaada mkubwa kwenye uokozi.
 
Ndiyo ni laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…