Alie jiposti status akiwa chini ya kifusi ameokolewa

Alie jiposti status akiwa chini ya kifusi ameokolewa

Jamani tukiwa kwenye kuomboleza, kuwaombea wenzetu wengine waokolewe. Tuache kutupia maneno, maneno.
Sasa kama unachukia wanawake, tunakusaidiaje? Ndiye aliyekuzaa, huenda akakulea mpaka kufikia, unamkashifu. Ina maana namzazi wako yumo.

Na wale mnaosema wanawake hawawezi kitu. Labda mko nyuma kitaarifa. Tunafanya mambo mengi sawa na nyinyi. Machache tu, tunachimba madini, tunaendesha ndege hadi za kivita, meli, malori, mabasi. Ni wanajeshi pia, tunaenda vitani. Hata kwenye uokozi, taratibu tutakuja kupewa nafasi. Hakuna aliyewaza tutaweza kufanya hayo na mengine mengi.

Yaani kuna mitoto mitukutu, ndiyo maana kuna wanawake wanawadunda. Acheni kudharau wanawake, tunawachoma sindano na mnavua bila ubishi waone.
 
Kutumia akili yako ili uishi na mwanamke kutakuchelewesha , tumia akili kujipenda na kujifurahisha, wanawake hawahutaji akili maana wao wenyewe hawana akili
Mzee we ni team kataa ndoa nin? 😂😂😂😂
 
Jamani tukiwa kwenye kuomboleza, kuwaombea wenzetu wengine waokolewe. Tuache kutupia maneno, maneno.
Sasa kama unachukia wanawake, tunakusaidiaje? Ndiye aliyekuzaa, huenda akakulea mpaka kufikia, unamkashifu. Ina maana namzazi wako yumo.

Na wale mnaosema wanawake hawawezi kitu. Labda mko nyuma kitaarifa. Tunafanya mambo mengi sawa na nyinyi. Machache tu, tunachimba madini, tunaendesha ndege hadi za kivita, meli, malori, mabasi. Ni wanajeshi pia, tunaenda vitani. Hata kwenye uokozi, taratibu tutakuja kupewa nafasi. Hakuna aliyewaza tutaweza kufanya hayo na mengine mengi.

Yaani kuna mitoto mitukutu, ndiyo maana kuna wanawake wanawadunda. Acheni kudharau wanawake, tunawachoma sindano na mnavua bila ubishi waone.
Naomba picha ya Mwanamke kabeba hata msumeno pale kwenye kifusi anakata nondo watu watoke
 
Yaani acha tu dear, nilisoma na nikarudia. Maana yake sikuipata. Ila Mwenyezi Mungu, hakukosea kutuumba.
MWanmke anaweza kuwa mwovu lakini siyo kwa sababu ni mwanamke, bali ni kwa nafsi yake.

Adam alipokuwa pekee alijiona hajakamilika. Alipompata Eva, alifurahi na kujiona mkamilifu.

"Moyo wangu wamtukuza Bwana, na Roho yangu inamshangilia Mungu Mkombozi wangu kwa kuwa ameuonaunyonge wa mtumishi wake, na tazama kuanzia sasa vizazi vyote vitaniita mbarikiwa"- Mama Bikira Maria.

"kwa mwanamke dhambi iliingia ulimenguni, na kwa mwanamke Ulimwengi ulimpata mkombozi" - mtume Paulo.

Enyi wanawake msikatishwe tamaa na maneno ya ufedhuli.

Nanyi wanaume, fahamuni kuwa Yuda Iskariote hakuwa mwanamke. Maovu mengi yanafanywa na wanaume.

Ulimwengu hauwezi kuwepo bila ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom