MWanmke anaweza kuwa mwovu lakini siyo kwa sababu ni mwanamke, bali ni kwa nafsi yake.
Adam alipokuwa pekee alijiona hajakamilika. Alipompata Eva, alifurahi na kujiona mkamilifu.
"Moyo wangu wamtukuza Bwana, na Roho yangu inamshangilia Mungu Mkombozi wangu kwa kuwa ameuonaunyonge wa mtumishi wake, na tazama kuanzia sasa vizazi vyote vitaniita mbarikiwa"- Mama Bikira Maria.
"kwa mwanamke dhambi iliingia ulimenguni, na kwa mwanamke Ulimwengi ulimpata mkombozi" - mtume Paulo.
Enyi wanawake msikatishwe tamaa na maneno ya ufedhuli.
Nanyi wanaume, fahamuni kuwa Yuda Iskariote hakuwa mwanamke. Maovu mengi yanafanywa na wanaume.
Ulimwengu hauwezi kuwepo bila ya mwanamke.