zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Hahaha hata kusimulia naona uzito ila tuishi nao hivyo hivyo tuNini tena mkuu š¤£..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hata kusimulia naona uzito ila tuishi nao hivyo hivyo tuNini tena mkuu š¤£..
Duh! Wataweza kweli mkuu?Wanawake ilibidi na wao waingie mzigoni kubeba tofali zile na kufukua vifusi
Kwanini wasiweze sasa mkuu ila dah hahaha tuishi nao tuishi naoDuh! Wataweza kweli mkuu?
Nadhani na wao japo sio wengi nadhani kwa namna moja ama nyingine kuna msaada wanatoa ambao hatuuoni mbele ya vyombo vya habari.. Naamini kuna sehemu wanasaidia hata kwa maombi...Kwanini wasiweze sasa mkuu ila dah hahaha tuishi nao tuishi nao
kavue sidiria manyonyo yabaki wazi huku yakinighinia kama ndala zateja huku ukiwa umevaa sketi yako tukuone ukifanya uokoziNisome tena, utanielewa. Nia ni kuwaokoa haijalishi nani amewaokoa. Tunachotaka ndugu zetu watoke wakiwa hai. Haya ya mwanamke na mwanaume baadaye, tukiwa kwenye furha kuwa wameokolewa. Kwasasa hapana huu ushindani, kuna watu vimewalamba huko, wanaunganisha wanawake wote.
Maombi yanafukua kifusi?Nadhani na wao japo sio wengi nadhani kwa namna moja ama nyingine kuna msaada wanatoa ambao hatuuoni mbele ya vyombo vya habari.. Naamini kuna sehemu wanasaidia hata kwa maombi...
Hahaha punguza ukali wa manenokavue sidiria manyonyo yabaki wazi huku yakinighinia kama ndala zateja huku ukiwa umevaa sketi yako tukuone ukifanya uokozi
mana unanegheneka sana
Ni Mpumbavu peke yake ndiye anaweza kujiua kwa sababu ya papuchi.Hakika,na ndiyo maana wanaua na kujiua sababu ya hiki wanachokidharau...hao wakianza kutukashfu ni kutulia tu na kuwachora
mbona sisi wanaume tunavua mashati tunabaki vifua wazi nakufunga uokozi?Hahaha punguza ukali wa maneno
Malaika wa kheri wanaweza kuwalinda walioko huko chini ya vifusi, masuala ya kiimani kama Daniel alivyotupwa kwenye shimo lenye simba wenye njaa, ama Nebukadneza alivyowatupa kina Meshaki na wenzake kwenye shimo la moto, kuna malaika alikuwa nao kule shimoni, walikua wanne wakaona kuna watu watano....Maombi yanafukua kifusi?
Duuh huko ulipofika ni mbali sana inabidi umuombe radhi kwa kauli hiimbona sisi wanaume tunavua mashati tunabaki vifua wazi nakufunga uokozi?
huyu akaoshe kumir itobwe tuu aache kelelezake hapa
Kwa hio hao unaowaongelea walipofanywa hivyo Wanawake waliingia kwenye maombi?Malaika wa kheri wanaweza kuwalinda walioko huko chini ya vifusi, masuala ya kiimani kama Daniel alivyotupwa kwenye shimo lenye simba wenye njaa, ama Nebukadneza alivyowatupa kina Meshaki na wenzake kwenye shimo la moto, kuna malaika alikuwa nao kule shimoni, walikua wanne wakaona kuna watu watano....
Hapana, bali namaanisha mambo ya kiimani yapo...Kwa hio hao unaowaongelea walipofanywa hivyo Wanawake waliingia kwenye maombi?
Mungu kaamua au wpmbv tu ndy wamesababisha tatizo hilo...waache kumsingizia munguHuyu naye katikaššš
View attachment 3154533
Haya sawa mkuu kwa hio ndio wateja wa Manabii wa MchongoHapana, bali namaanisha mambo ya kiimani yapo...
Ndio nikasema inawezekana hata maombi yakasaidia...
HakikaNi Mpumbavu peke yake ndiye anaweza kujiua kwa sababu ya papuchi.
Yaani acha tu dear, nilisoma na nikarudia. Maana yake sikuipata. Ila Mwenyezi Mungu, hakukosea kutuumba.
Yaani we huwoni kama mtu kajiandikia tu hapoMbona umeweka emoji za kucheka na haichekeshi kaka? Inahuzunisha kijana anakutana na kifo katika upambanaji wake. Malengo na ndoto zake zote zinaishia hapo. Inaliza si kuchekesha hatomuona mtoto wake. Tuwe makini vya kucheka please.
Wanawake ni viumbe wabora na wenye heshima na nafasi kubwa, ni jamii ya kipumbavu pekee inayowadharau wanawake.Yaani acha tu dear, nilisoma na nikarudia. Maana yake sikuipata. Ila Mwenyezi Mungu, hakukosea kutuumba.
Dunia bila wanawake isingekuwepo.Yaani acha tu dear, nilisoma na nikarudia. Maana yake sikuipata. Ila Mwenyezi Mungu, hakukosea kutuumba.