Alieanzisha utaratibu wa kuvishana pete ni nani?

Alieanzisha utaratibu wa kuvishana pete ni nani?

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
561
Reaction score
1,149
Waungwana Huu Utaratibu Wa Kuvisha/Kuvishwa/Kuvishana Pete Wakati Wa Kufungua Uchumba au Kurasimisha Ndoa Ulianzishwa na Nani?

Pete Inasimama kwamaana Ya kuwa Mwili Mmoja au Kuelekea Kuwa Mwili Mmoja,

Mwili Una mikono Miwili Kushoto na kulia Kwanini Mwanaume na Mwanamke Wote wavae Pete Mkono Wa kushoto?

Nafikili Mwanaume Avae Pete Mkono Wa Kulia Mwanamke Avae Pete Mkono wa kushoto,Maana Ya mwili Mmoja Italeta maana,Hakuna Mwili Mmoja wenye mikono yote ya kushoto.
 
Kama tulivyoridhi dini hata taratibu za ndoa na kuvikana pete ni tamaduni za wenzetu sisi waafrika.
 
Hawa Wamisri Na Warumi Hasa wa Kale Ni Watu wanaoijua Dunia Vyema,Nadhani walikua na Maana yao kuanzisha hicho kitu.
Zilikuwa ni tamaduni zao tu za imani/ dini zao, wala hakuna kitu chochote cha kipekee katika hilo.
 
Waungwana Huu Utaratibu Wa Kuvisha/Kuvishwa/Kuvishana Pete Wakati Wa Kufungua Uchumba au Kurasimisha Ndoa Ulianzishwa na Nani?

Pete Inasimama kwamaana Ya kuwa Mwili Mmoja au Kuelekea Kuwa Mwili Mmoja,

Mwili Una mikono Miwili Kushoto na kulia Kwanini Mwanaume na Mwanamke Wote wavae Pete Mkono Wa kushoto?

Nafikili Mwanaume Avae Pete Mkono Wa Kulia Mwanamke Avae Pete Mkono wa kushoto,Maana Ya mwili Mmoja Italeta maana,Hakuna Mwili Mmoja wenye mikono yote ya kushoto.
Utaratibu wa kubadilishana pete haukuanzishwa na dini moja pekee, bali ulitokana na desturi za kale, hasa za Warumi na Wamisri wa zamani, kisha ukapitishwa na tamaduni mbalimbali na baadaye baadhi ya makanisa. Pete iliwakilisha ahadi, uaminifu na muungano wa wanandoa.
 
Back
Top Bottom