Dudu langu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 294
- 826
Dudu baya. ....Mambaz woch ur back
Umepigilia msumari kabisa aisee!Padre anachukua stola anawafunga maharusi Hawa
Mpo tyr kuishi kwenye shida na raha nipo tyr!! Huku ukijua hapa hamna kazi,
Haya mwenzangu pokea pete hii ikawe ishara ya upendo wangu kwako!!!
Mashangazi huko nyuma na satini zao za blue!! Nywele wamesuka yeboyebo na Kilimanjaro huku wameazima vipima joto na viatu kwa majirani unasikia Aililililiiiiiii liiiiiiiiiiiii aiiiiiii aiiiiiiiiiii aiiiiii
Huku shangazi kutoka mjini ndiyo amefika na perfume inayotoa urembo kutupulizia ukimtizama usoni utafikiri kapakwa jivu la mzee shoo kwenu wanandoa secretarybird loose Nut min -me
Kwamba ili wajamiianapo kwa ile style ya kugeuziana matumbo (style ya mwaka 47) pete zote ziwe upande mmoja, sivyo?Nafikili Mwanaume Avae Pete Mkono Wa Kulia Mwanamke Avae Pete Mkono wa kushoto,Maana Ya mwili Mmoja Italeta maana,Hakuna Mwili Mmoja wenye mikono yote ya kushoto.