Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Hapana Mkuu ni SindanoUzi tayari
MimiWaungwana Huu Utaratibu Wa Kuvisha/Kuvishwa/Kuvishana Pete Wakati Wa Kufungua Uchumba au Kurasimisha Ndoa Ulianzishwa na Nani?
😀😀😀 Mkuu kama Kuna kadi Umeletewa uchangie mchango changia tu,Ila Usiweke Matarajio ukiwa Na Jambo lako utachangiwa Utakua Disappointed.Mi namtafuta aliyeanzisha utartibubwa kuchangisha harusi
Uliwaza nini Mkuu?Mimi
Nadhani Utamaduni Huu Una maana,Nilitamani Nijue Maana Yake.Kama tulivyoridhi dini hata taratibu za ndoa na kuvikana pete ni tamaduni za wenzetu sisi waafrika.
Walikua Na Maana Gani Mkuu?Ilianza Africa na kusambaa duniani
Lengo sijui ila najua ilianzia misri ya kale, na wa roma ndio walisambaza kupia dini dunia nzimaWalikua Na Maana Gani Mkuu?
Hawa Wamisri Na Warumi Hasa wa Kale Ni Watu wanaoijua Dunia Vyema,Nadhani walikua na Maana yao kuanzisha hicho kitu.Wamisri wa kale na Wazungu Warumi
Wazo jema mkuuInabidi kuwauliza wanaofungisha ndoa
Zilikuwa ni tamaduni zao tu za imani/ dini zao, wala hakuna kitu chochote cha kipekee katika hilo.Hawa Wamisri Na Warumi Hasa wa Kale Ni Watu wanaoijua Dunia Vyema,Nadhani walikua na Maana yao kuanzisha hicho kitu.
Utaratibu wa kubadilishana pete haukuanzishwa na dini moja pekee, bali ulitokana na desturi za kale, hasa za Warumi na Wamisri wa zamani, kisha ukapitishwa na tamaduni mbalimbali na baadaye baadhi ya makanisa. Pete iliwakilisha ahadi, uaminifu na muungano wa wanandoa.Waungwana Huu Utaratibu Wa Kuvisha/Kuvishwa/Kuvishana Pete Wakati Wa Kufungua Uchumba au Kurasimisha Ndoa Ulianzishwa na Nani?
Pete Inasimama kwamaana Ya kuwa Mwili Mmoja au Kuelekea Kuwa Mwili Mmoja,
Mwili Una mikono Miwili Kushoto na kulia Kwanini Mwanaume na Mwanamke Wote wavae Pete Mkono Wa kushoto?
Nafikili Mwanaume Avae Pete Mkono Wa Kulia Mwanamke Avae Pete Mkono wa kushoto,Maana Ya mwili Mmoja Italeta maana,Hakuna Mwili Mmoja wenye mikono yote ya kushoto.