Padre anachukua stola anawafunga maharusi Hawa
Mpo tyr kuishi kwenye shida na raha nipo tyr!! Huku ukijua hapa hamna kazi,
Haya mwenzangu pokea pete hii ikawe ishara ya upendo wangu kwako!!!
Mashangazi huko nyuma na satini zao za blue!! Nywele wamesuka yeboyebo na Kilimanjaro huku wameazima vipima joto na viatu kwa majirani unasikia Aililililiiiiiii liiiiiiiiiiiii aiiiiiii aiiiiiiiiiii aiiiiii
Huku shangazi kutoka mjini ndiyo amefika na perfume inayotoa urembo kutupulizia ukimtizama usoni utafikiri kapakwa jivu la mzee shoo kwenu wanandoa
secretarybird loose Nut min -me