Kama anajua kuendesha gari asemavyoπ Awe mrefu, mweusi, kifua kipana alafu anaendesha benz
Katoma zake wafuga kucha haoUnakuta mtu anae sema hivyo hata hajui kuandika GIRL anaandika geloπ
Ukiwaona kama watuWanakaza sana alafu wakishafika 28+ ndio wanaanza kutusumbua kuwa wanaume wa kuoa hawapo,tatizo wameshakuwa vibibiπππππ
View attachment 3227849
Kazi yenu hapa ni kutaka kujua kila mtu anafanya shughuli gani.Toka kwa shemeji yako , tafuta mchongo
Sasa kama wewe mwenyewe ndio mod kwanini nisipigwe tofaliππ, eti totoz ya hamas, kama una hasira tena piga ya mwaka ππππJombi kumbe ushatoka kifungoni ? inabidi upewe tuzo ya bans maana unalambwa sana , na nawapongeza mods kwa kazi nzuri .......
Hahah walinipiga kibao cha siku 3 hivi mkuu πππ
Moyoni hawana utu, Kumbe ni waongo!Lady jaydee,salamu kwake.Ukiwaona kama watu
Acha weeeeπππππ una habari kwamba bwana makutupora amepata cheo kwenye chama cha majobless!
Eeee ni semaji la majobless (duniani)Acha weeeeπ