Hahaaa.eti unaweza kuota. LolMie hata mke wangu nyumbani apake hivyo nitamlazimisha akanawe usoni bila hivyo silali nae naweza nikaota usiku hivyo vitu alivyopaka...na mwingine usiku akilala mdomo wazi na meno nje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na vitu alivyopaka hivyo anatisha.
Hahaaaa. Ila saa nyingine najiuliza inamaana huyo mpambwaji anakuwa hajioni au hakuwi na kioo sababu sidhani kama haruhusiwi kushauri , sababu kama vinachekesha ujue.Mara nyingi mtu yeyote ambae hajabobea kwenye mambo huwa ana-complicate sana,mfano huyo mpambaji kaweka mikorokoro miiiingi mpaka kamdolisha binadamu.
Aliona akiweka vitu vichache ataonekana hajui kupamba,sasa badala ya kupamba kapambua lol.
Ila tumshukuru mpambaji maana kasababisha mdau kaleta uzi, na huu uzi umenifanya nimeambulia tu like tungapi sijui.
Wacha wapambane na makeup zaoNami pia nimelijua hilo kwenye zile saluni za kueleweka hakuna hizi mambo za kufanyana kama vinyago sababu ile rangi ya asili inaondoka kabisa usoni.
Kwa upande mwingine naona wenyewe wanapenda pia kuwa na hizo Mbagala rangi tatu yaani uso, shingo na hata mikono kila kimoja kina rangi yake.
wanatisha wallahSalon za bei rahisi hizo Minah24: ukitoka hapo unakuwa kama kibwengo au kinyago.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] mie ningetoka ndukiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ni mwanaume, chunguza vizuri
Mirangi hiyo sunna kwa mwanaume weye![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama wakiume iyo mirangi cyo jomoniií
Kabisaaaaa. Ikiwa kioo kipo ila hawaoni kasoro.Wacha wapambane na makeup zao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanamke mkuu.huyo si mwanaume
Ndio maanake.Hahaaa.eti unaweza kuota. Lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Noma sana kama mie ndio bwana,wanatisha wallah
Mzuka!!!Huyu ndio ametisha kuliko wote waliowai kutokea dadekiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzuka!!!
Dunia imekwisha, hapo sasa unaweza kwenda nae nyumbani akinawa uso tu utakutana na makovu kibao.Huyu ndio ametisha kuliko wote waliowai kutokea dadekiii
Simpigi shoo mkuu namtoroka kamaDunia imekwisha, hapo sasa unaweza kwenda nae nyumbani akinawa uso tu utakutana na makovu kibao.
Wakati ushatoa na mahari huyo wako tu.Simpigi shoo mkuu namtoroka kama
Nimpanga kukutanae mie natoka.
Nduki mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nasamehe mkuu.Wakati ushatoa na mahari huyo wako tu.