Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Mie hata mke wangu nyumbani apake hivyo nitamlazimisha akanawe usoni bila hivyo silali nae naweza nikaota usiku hivyo vitu alivyopaka...na mwingine usiku akilala mdomo wazi na meno nje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na vitu alivyopaka hivyo anatisha.
Hahaaa.eti unaweza kuota. Lol
 
Mara nyingi mtu yeyote ambae hajabobea kwenye mambo huwa ana-complicate sana,mfano huyo mpambaji kaweka mikorokoro miiiingi mpaka kamdolisha binadamu.

Aliona akiweka vitu vichache ataonekana hajui kupamba,sasa badala ya kupamba kapambua lol.

Ila tumshukuru mpambaji maana kasababisha mdau kaleta uzi, na huu uzi umenifanya nimeambulia tu like tungapi sijui.
Hahaaaa. Ila saa nyingine najiuliza inamaana huyo mpambwaji anakuwa hajioni au hakuwi na kioo sababu sidhani kama haruhusiwi kushauri , sababu kama vinachekesha ujue.

Kuhusu tu like inabidi tugawane tulike twangu ili na zako zijae kidogo. Hahaaaa.
 
Nami pia nimelijua hilo kwenye zile saluni za kueleweka hakuna hizi mambo za kufanyana kama vinyago sababu ile rangi ya asili inaondoka kabisa usoni.

Kwa upande mwingine naona wenyewe wanapenda pia kuwa na hizo Mbagala rangi tatu yaani uso, shingo na hata mikono kila kimoja kina rangi yake.
Wacha wapambane na makeup zao
 
Dunia imekwisha, hapo sasa unaweza kwenda nae nyumbani akinawa uso tu utakutana na makovu kibao.
Simpigi shoo mkuu namtoroka kama
Nimpanga kukutanae mie natoka.
Nduki mkuu.
 
Back
Top Bottom