[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi sipendi nikute mwanamke kajipura hivyo halaf unakuta kaweka na makope kama ufagio wa chooni
Hatari sana mkuu.Tanga kwa makeup huwawezi, naishi nao hao, jua Kali unakuta mama kajikandika makeup balaaa. Muulize sasa atakwambia we msambaa pisha mbele, yaani wadigo kwa kujipura cwawezi jaman
Kusema ukweli mi mwenywe nikimkuta mke wangu kafanya hayo namkana mubashara[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mie kama bwana harusi natoka ndukiiii
Mie siongozani nae kwenda kokoteKusema ukweli mi mwenywe nikimkuta mke wangu kafanya hayo namkana mubashara
Halafu na kwenye ukumbi mc anamtambulisha mpambaji kwa mbwembwe kwamba kampendezesha bi harusi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Basi mpambaji anajikubali!!
Ajapendeza kaingizwa mkenge.Acha wayapate wanayoyatafta mkuu kuna wanawake wao kila jambo liko sawa tu tena hapo unaweza Hana ata wasiwasi kabsaaa anasubiria abiria wake tu
Noma sana mkuuHalafu na kwenye ukumbi mc anamtambulisha mpambaji kwa mbwembwe kwamba kampendezesha bi harusi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
umenena vyema mkuu. Sio jambo jema kabisa, sina hakika kama angekuwa ni mwanae au dada yake angemuweka.ila kuposti picha ya mtu bila ridhaa yake nafikiri ni unethical consideration
Kaa mtu kawa wanjanoHuyu ndio ametisha kuliko wote waliowai kutokea dadekiii
Itifaki imezingatiwa kiongoziumenena vyema mkuu. Sio jambo jema kabisa, sina hakika kama angekuwa ni mwanae au dada yake angemuweka.
Watu kama hao ukiwakuta wanakula utashangaa na roho yako.
Hahahaaa. Weweeee.Watu kama hao ukiwakuta wanakula utashangaa na roho yako.
Unakuta kaagiza supu,chapati,chai,mihogo,soda,maji na mayai ya kuchemsha.
Usiombe upande nae daladala,mtajambiwa mpaka matumbo yajae harufu mbaya.
Sijambo mpendwa wangu, hofu kwakooooooooo.Hahahaaa. Weweeee.
Mzima lakini?