Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Tanga kwa makeup huwawezi, naishi nao hao, jua Kali unakuta mama kajikandika makeup balaaa. Muulize sasa atakwambia we msambaa pisha mbele, yaani wadigo kwa kujipura cwawezi jaman
 
Tanga kwa makeup huwawezi, naishi nao hao, jua Kali unakuta mama kajikandika makeup balaaa. Muulize sasa atakwambia we msambaa pisha mbele, yaani wadigo kwa kujipura cwawezi jaman
Hatari sana mkuu.
 
da31ee16af9fd0d0fd991ce6e2eb5740.jpg
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mie kama bwana harusi natoka ndukiiii
Kusema ukweli mi mwenywe nikimkuta mke wangu kafanya hayo namkana mubashara
 
Acha wayapate wanayoyatafta mkuu kuna wanawake wao kila jambo liko sawa tu tena hapo unaweza Hana ata wasiwasi kabsaaa anasubiria abiria wake tu
 
Kusema ukweli mi mwenywe nikimkuta mke wangu kafanya hayo namkana mubashara
Mie siongozani nae kwenda kokote
Mambo mengine aibu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona kama mwanaume vile [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom