Alienishauri kufungua biashara ya video production ameniingiza chaka

Alienishauri kufungua biashara ya video production ameniingiza chaka

Biashara yoyote mwanzo huwa inakuwa haina profit kubwa .

So kukomaa kwako na consistence ndo muhimu .

Then ikiwa Una Vifaa Vya video production jaribu kuwatafuta Events organizer uongee nao na mkubaliane kila Kazi anayokuletea utamlipa sh ngapi .

Hapo Kazi zitaanza kuingia Ila uvumilivu muhimu .

Ma MC
Events organizer
Kujitangaza IG ,FB ,Ticktock ni muhimu Sana

Be in touch with them
Kuna watu wana organize events nimeongea nao lakini sijazielewa arrangements zao
 
Watu wana shoot events zao kwa kutumia simu. Duh

Biashara ni nzuri ukiwa unasimuliwa
unatakiwa kuwa mtu wa mashuhuri sana Hongea na wanakamati vizuri na kila harusi kuwa unapenda kuchangia na kuwa mwana kamati.
hAKIKISHA MA MC WA SHUGULI WOTE NI RAFIKI ZAKO SIO LUCAS MWASHAMBA AMBAYE KUTWA NZIMA ANAIMBA MAMA HUMU JF utazani kazaliwa naye.
 
Huwezi fanikiwa kwenye biashara kama service provider ambapo hauna interest kabisa. Labda iwe ni uchuuzi, mfano unaweza kuwa na liquor store ukafanya vizuri ila hunywi pombe.

Lakini huwezi fanya vizuri kwenye video production au content creation kama hauna interest. Na hupati interest kwa kuambiwa, ni lazima iwe moyoni umekaa nayo muda hujawahi waza hata kuifanyia biashara.

Yaani unaweza kesha ukifanya kitu hicho bila malipo, unakijua sana, unakifurahia, unawajua waliofanikiwa uko, unajua trends, unajua cycle ile.
 
Nakubaliana na wewe. Ila wanasema naturally kila binadamu anapenda mambo ya camera na picha
 
Back
Top Bottom