Alienishauri kufungua biashara ya video production ameniingiza chaka

Alienishauri kufungua biashara ya video production ameniingiza chaka

Watu wana shoot events zao kwa kutumia simu. Duh

Biashara ni nzuri ukiwa unasimuliwa
Camera ya kawaida haiwezi kuwa replaced na simu, yawezekana nayo ni content creation kama ulivyoamua kuwa content creator ndiomana hata kukushauli nahisi ntapoteza muda.
 
Back
Top Bottom