holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 884
- 1,400
Habarini wakuu, natumaini mnaendelea vyema na shughuli za kulijenga taifa.
Kuna jambo moja nimelifatilia Kwa watu mbalimbali japo nimepata majibu mchanganyiko. Kwa hivyo nimeona nililete kwenu pia kama kuna watu mnaofahamu tushauriane. Nitumie mfano: Labda nimesoma Bsc with Education (Biology and Geography) na Masters of Education in Science Education na nikafanya kazi kama mhadhiri msaidizi chuo kikuu.
Nikataka nibadili career halafu niende nisome Masters of Environmental and Occupational Health, taasisi fulani za afya zikiwa na nafasi yenye uhitaji wa qualification kama hiyo ya Environmental Health zinaweza kugoma kunichukua kwasababu degree yangu ya kwanza ni ya ualimu, yani hamna alignment kati ya nilichosonea Bachelor na Masters.
Wazoefu wa system nipeni maoni yenu. Please naomba discussion za mshahara ziwekwe pembeni.