holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 884
- 1,400
Kwa vyuo vikuu ipo sana ambacho nilikuwa na wasiwasi ni nje vyuo taasisi zingine ambazo zinashugulika na kitu fulani specific mfano Kwa hiyo environment health tuchukulie maybe OSHAInategemea na muajiri. Mara nyingi taasisi nyingi zinahitaji kuwepo na alignment kati ya degree ya kwanza na ya pili, hata kama sio exactly the same. Lakini kuna baadhi ya position, au taasisi zinazozingatia sana level ya Master's na wasijari sana level ya Bachelor, cha msingi ile degree ya kwanza inakupa support kuelekea degree ya pili. Nilishashuhudia mtu amesoma Sociology (bachelor), baadae akapiga Master's in Public Administration akachukuliwa kama assistant lecturer in public administration, hapo walizingatia sana Master.
Ok. Endelea kufuatilia, tutapata jawabu.Kwa vyuo vikuu ipo sana ambacho nilikuwa na wasiwasi ni nje vyuo taasisi zingine ambazo zinashugulika na kitu fulani specific mfano Kwa hiyo environment health tuchukulie maybe OSHA
Mtu si anasoma chochote anachoweza kuwa enrolled, ana interest nacho na kinaweza kufanikisha malengo yake binafsiUna degree ya Ualimu upo shule unafundisha then unataka kusoma Masters ya HR.
Utakuwa na shida kichwani.
Sasa hizo kachumbari bila chumvi zinawasaidia nini?Mtu si anasoma chochote anachoweza kuwa enrolled, ana interest nacho na kinaweza kufanikisha malengo yake binafsi
Ni muhimu sana kuzingatia uwiano kati ya program ya kwanza, na ya pili, au zaidi. Yan huwe kwenye same field, Ili kuepuka usumbufu. Taasisi inaweza kuzingatia Master's pekee, ikiwa program husika haitolewi level ya bachelor, hapo ndo watazingatia relevant, or equivalent.Kwa vyuo vikuu ipo sana ambacho nilikuwa na wasiwasi ni nje vyuo taasisi zingine ambazo zinashugulika na kitu fulani specific mfano Kwa hiyo environment health tuchukulie maybe OSHA
Shida sana hata hawa wana diploma na miaka ya kutosha kazini anaenda kusoma degree bila kujua akasome nini mwisho wa siku vyeti vya degree vinaishia kufungiwa kabatini.Ni muhimu sana kuzingatia uwiano kati ya program ya kwanza, na ya pili, au zaidi. Yan huwe kwenye same field, Ili kuepuka usumbufu. Taasisi inaweza kuzingatia Master's pekee, ikiwa program husika haitolewi level ya bachelor, hapo ndo watazingatia relevant, or equivalent.
Asee! Na sahv kuna degree nying za mchongo sana.Shida sana hata hawa wana diploma na miaka ya kutosha kazini anaenda kusoma degree bila kujua akasome nini mwisho wa siku vyeti vya degree vinaishia kufungiwa kabatini.
Hapa umenipa jibu nililokuwa natafuta. Kwa maana hii mtu akitaka kuajirika kwenye taasisi inayochukua watu wa field fulani ni heri kusoma bachelor degree ya field inayohitajikaNi muhimu sana kuzingatia uwiano kati ya program ya kwanza, na ya pili, au zaidi. Yan huwe kwenye same field, Ili kuepuka usumbufu. Taasisi inaweza kuzingatia Master's pekee, ikiwa program husika haitolewi level ya bachelor, hapo ndo watazingatia relevant, or equivalent.