Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Kwahiyo huyo kijana alistahili alichofanyiwa ?Na kwanini nifanyiwe...?
Mpaka nafanyia jua kuna jambo nimefanya..
Kwahiyo huyo kijana alistahili alichofanyiwa ?Na kwanini nifanyiwe...?
Mpaka nafanyia jua kuna jambo nimefanya..
Mpaka nakua kwenye hiyo situation basi na mimi nina shida mahali.Ungekuwa kwenye hiyo situation ingekuwa sawa kwako kufanyiwa alivyofanyiwa huyo kijana ?
Sina jibuKwahiyo huyo kijana alistahili alichofanyiwa ?
Jibu unalo ila umeamua kujizima data tu, bila shaka ukijiweka wewe kwenye hiyo hali aliyofanyiwa yule kijana unaumia ila unaamua kutetea unachokitetea.Sina jibu
Reasoning yangu ni ya kawaida tu kwa sababu yule kijana amefanyiwa jambo ambalo siyo la kawaida kibinadamu.Mpaka nakua kwenye hiyo situation basi na mimi nina shida mahali.
Mkuu mbna unakua na reasoning za kawaida hivo..
Seriously unasema ningekua mimi...!!?
Mpaka naingia kwenye hiyo situation basi nilikua najua kinachoenda tokea ni nini
Mfano, tumekatazwa kutembea na wake za watu, umeshikwa umefanyiwa vya kufanyiwa mtu analalamika why wamenifanyia hvi..
Alafu anakuuliza ingekua weww umefanyiwa hvi ungejiskiaje....
Inamana weww ujui ukifanya kosa what next....
Kuhusu adhabu aliyofanyia sio jambo la ajabu la kuchukulia hisia hivo ni vile tu tayari mna mentality ya kuwachukua hao askali.
Kwa Wapumbavu kama ninyi mnaotegemea mfumo kuwalisha wala comment yako haishangazi. Ndio Akili yako ilipoishia .TakatakaSasa huyo jamaa alikuwa hajuwi kuwa hahusiki kwenye huo msafara??
Anaingia wakati hahusiki alitegemea nini?
Ndio wanatakiwa kufata sheria. Nje ya hapo huo ni uhalifu.Yes hata mi nimeliona hilo..
Sema ni vile watu wanakua na chuki hawafanyi hata reasoning..
Kuna mambo mengine mbna mnayaangalia kwa upande wa kuonewa tu..
Hivo kusema sheria zimewekwa ili zivunjwe au laaa..Mtu anazingua lazima wamwajibishe.
Hakuna mtu anafanyia visa na polisi from no where wakuu.
Na hapo ni adhabu je wangesema wafate vifungu vya sheria mnajua wangemfikisha wapi huyo jamaa.
Hawa Police tunawaonea tu, nafikiri na ninaamini kuwa wanapata mafunzo ambayo yanawaondolea uwezo wa kufikiri critically kama binadamu wengine. Na kwa wale wenzangu na mimi wanaojiunga na Jeshi la Polisi huku wakiwa na elimu ya kuunga unga ndiyo wanakuwa na hali mbaya zaidi baada ya kutoka kwenye hayo mafunzo. Hao wenye elimu ya hapa na pale ndiyo ambao akiamrishwa kuua, hawazi mara 2 mbili zaidi ya kutekeleza maagizo ASAP.Police bhna 🙌🙌
Aisee tuna safari ndefu sanaHawa Police tunawaonea tu, nafikiri na ninaamini kuwa wanapata mafunzo ambayo yanawaondolea uwezo wa kufikiri critically kama binadamu wengine. Na kwa wale wenzangu na mimi wanaojiunga na Jeshi la Polisi huku wakiwa na elimu ya kuunga unga ndiyo wanakuwa na hali mbaya zaidi baada ya kutoka kwenye hayo mafunzo. Hao wenye elimu ya hapa na pale ndiyo ambao akiamrishwa kuua, hawazi mara 2 mbili zaidi ya kutekeleza maagizo ASAP.