Aliingilia Msafara wa Mwenge na hicho ndicho Polisi waliamua kumfanyia. Je, ni haki?

Aliingilia Msafara wa Mwenge na hicho ndicho Polisi waliamua kumfanyia. Je, ni haki?

nchi ya wajinga unamdhalilishaje mwananchi masikini kwa sababu ya moto? kwani kama ametenda kosa wangemkamata kistaarabu na kumpeleka kituoni na mzigo wake wangepungukiwa nini? ndio maana watanganyika sasahivi kila kona tunaonekana vituko, yaani unatumia nguvu sehemu ambayo wala haihitajiki.Nimeona pia vititaarifa vyao vya kujitetea shame on THEM.
 
Wahuni

Tena yaoneneka walishatupiamo sio vitendo vya watu timamu
 
Mambo mengine tuache kuteta unakaidije kupisha msafara, unajua madhara ya Ajali inayo weza kutokea hapo? Puuzi kabisa pelekeni polisi huyooo, magari Yako Kasi ya ki hama njia wanakufa wengi refer kipindi kile cha Benjamin mkapa, mambo kama haya si ya kumtetea ujinga tu hawafati Sheria sehemu ya zebra watoto wanavuka wenyewe wanapita tu, wakigonga wanakimbia
 
huko kijijini watu wanajua hata msafara ni kitu gani? mnatumia nguvu nyingi kujisafisha lakini kimsingi busara ilitakiwa kutumika akamatwe apelekwe kunakohusika sasa kumwaga alizeti zake imewasaidia nini? vitu vingine huko bongo ni ushamba tu.
 
Changamoto za bodaboda huwezi zifahamu bro, kama hayajakukuta, Kuna Binti alivunjwa mguu na hawa watu basi bwana tuishie hapo,
 
Sheria zetu hazijasema mtu akitenda kosa mzigo wake utupwe mtaroni.

Sheria zetu hazisemi mtu akifanya kosa agalegale kwenye tope na vumbi.

Ungefanyiwa wewe hivyo ingekuwa sawa ?
Acha ku complicate mambo.... Mkuu
 
We mpuuzi ,ungekuwa ni wewe umefanyiwa hivyo ungeona sawa au ? Kuna sheria gani ya kupiga na kumwaga vitu mitaroni ? Kwanini hata najibizana Poor brain , poor you
Sasa mimi natii sheria..
Nawezaje kupita na washasema mwenge unapita..

Na wewe tumiaga akili mambo madogo hayo.

Ujui kuingilia msafara kunaweza sababisha vifo faza
 
Back
Top Bottom