Aliingilia Msafara wa Mwenge na hicho ndicho Polisi waliamua kumfanyia. Je, ni haki?

Tukiacha kuajili police kwa kigezo cha elimu ya kidato cha nne ndo tutakuja kupata Police huru
 
Mwenge unafaida gani kwa nchi kila mwaka wanakimbiza mwenge vipi matatizo ya wananchi yameisha? Ni upumbavu na ulofa na Ujinga karne hii kukimbiza mwenge nchi inaendeshwa na mazindiko mwenge una hasara kuliko faida kwa nchi
 
View attachment 3643423
Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha?

Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa amebeba maharage yake akienda kutafuta riziki ya watoto wake, lakini mnafanya hivi.

Kumbukeni hili kabla ya kuumiza maisha ya mtu; fikirieni kwanza watu wanaomtegemea nyuma yake.

Katika hii dunia ya Mungu, hebu tutende wema kuliko ubaya. Tuwekeze zaidi katika matendo ya huruma, utu na upendo kwa wengine.

Hata ukiwa kwenye nafasi ya cheo au mamlaka, kumbuka kuwa madaraka ni ya muda, lakini wema unaowatendea watu hubaki kwenye kumbukumbu zao.

UPDATES

ANAANDIKA TWAHA MWAIPAYA

TAARIFA KAMILI YA KIJANA ALIEPIGWA NA POLISI KWENYE MSAFARA WA MWENGE.

Tukio hili limetokea Kijiji cha Nkololo Kata ya NKOLOLO Wilaya ya BARIADI, Kijana mwendesha bodaboda aliepakia alizeti kwenye pikipiki yake aliingia barabarani kutoka barabara za mitaa inamaana alikuwa HAJUI kinachoendea njia Kuu alivyotokeza ghafla Polisi walimsimamisha kwa Kasi ikawa ngumu kusimama kwa haraka kama unavyojua vyombo vya Moto.

Baada ya kusimama Polisi na mgambo wakaanza kumpiga hapo mchukua video amechukuwa wakati Kijana huyu ameshapigwa, Baada ya kipigo wakamwaga alizeti zake mtaroni kama inavyoonekana kwenye video.

Kisa cha yote haya ni MSAFARA wa MWENGE kama unavyoona mwisho wa video hii inaonekana MSAFARA wa MWENGE unapita.

Baada ya hapo Kijana huyu alikamatwa Mpaka sasa yupo kituo cha Polisi Nkololo.

Kwa SASA nimempata MTU aliechukuwa video ya tukio nikamuomba video za ziada amenitumia.

Baada ya tukio hili kusambaza mtandaoni Polisi wamemfuata mtu aliechukuwa video na kusema watamkomesha kwa SASA Kijana aliechukuwa video yupo katika mashaka makubwa, anahitaji Masada wetu aweze kuondoka kijijini hapo kuokoa maisha yake.

Amenipatia namba yake kwaajili ya Msada wa dharula nimeshindwa kuiweka hapa Namba kwaajili ya usalama wake, kama kuna MTU anahitaji kumpa msaada wa haraka aje inbox.

Pia tunaomba wanasheria wafuatilie ili dereva BODABODA aachiliwe huru

Naomba tupate sauti Vijana hawa wawe salama.

View attachment 3643833

Eti kisa ni kinachoitwa mwenge wa uhuru?

Hivi huu mwenge sijui wa uhuru una uhalisia wowote katika kutatua yale yote yanayonasibishwa nayo (kuondoa umasikini, kuleta matumaini, sijui kuzuia rushwa)?

Ni miaka 60 sasa hii hadaa ya kinachoitwa mwenge wa uhuru ikifanywa lakini hakuna uhalisia wowote, hakuna faida yoyote ambayo leo kama nchi tutaenda mbele ya mataifa mengine na kutamba kwamba imetokana na mwenge wa uhuru, hakuna chochote ukitafakari sana utaona hadaa na upofu, ni giza.

Mwenge wa uhuru upi katika nchi ambayo raia wake hawana uhuru wa kuongea, kuchagua viongozi wao?

Mwenge wa uhuru upi katika nchi ambayo raia wake wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa na kubambikiwa kesi za uwongo?

Kuna siku giza hii itatoweka na hadaa yake.
 
Fikiria huyo ni mzazi wako ametoka kwenda kuuza alizeti ili aje alishe familia yake. Sawa mtu amekosea bila kukusudia, kulikuwa naulazima gani kuyatupa mazao yake? Vitu vingine vinatia hasira kwa wananchi. Sio kila kosa linahitaji adhabu!
 
Sasa huyo jamaa alikuwa hajuwi kuwa hahusiki kwenye huo msafara??

Anaingia wakati hahusiki alitegemea nini?

Mbona wamemfanyia utu baada kuona gunia la pili limetoboka hawakulitupa ili asipate hasara, hilo la kwanza zima ndio adhabu yenyewe alibebe na kulitoa huko mtaroni.
Na pia hakuna sehemu wamempiga

View attachment 3643438

Yes hata mi nimeliona hilo..
Sema ni vile watu wanakua na chuki hawafanyi hata reasoning..

Kuna mambo mengine mbna mnayaangalia kwa upande wa kuonewa tu..

Hivo kusema sheria zimewekwa ili zivunjwe au laaa..Mtu anazingua lazima wamwajibishe.

Hakuna mtu anafanyia visa na polisi from no where wakuu.

Na hapo ni adhabu je wangesema wafate vifungu vya sheria mnajua wangemfikisha wapi huyo jamaa.

Polisi wastaarabu hao . Wengine wangembeba...

Mnajihurumisha na hako kanyimbo cha kijinga ila hamna mtu ameonewa mpaka hapo video ilipoishia, labda wamuonee kwa kuzuia pikipiki baada ya mwenge mwenge kupita

Wote waliokuja na mihemko kuhusu hii mada hawana bando la kuangalia mjengeo, wanakwenda na upupu wa mtoa mada

Mi nafikiri huyo boda kapewa adhabu rahisi kwa kosa alilolifanya .,Badala wangemchukua kwenda nae kituoni mara akae mahabusu au afikishwe mahakamani afungwe miezi kadhaa, ni bora tu afunge mzigo upya. Huenda sheria ni kali zaidi kuliko hiyo adhabu.

Hata mimi ningechagua hiyo adhabu kuliko mkono wa Sheria.

Kwahiyo muungwana,
kwa makusudi kabisa kaingilia msafara? Anaelekezwa na wanausalama kwamba usipite huku na yeye analazimisha kukiuka maelekezo kwa dharau, kiburi na ujeuri, right?

kwahiyo alijiona yeye ni bora zaidi, ni hodari zaidi na ambao wemetii maelekezo bila shuruti, right?

Na kwamba mtoa hoja kaja jukwaani kutafuta public sympathy kwa mgongo wa mtu jeuri na mkiuka taratibu, right?

angepoteza maisha je, ingekuaje?🐒

Watz tupunguze tabia ya kuchukulia kila jambo kwa mtazamo wa chuki za kisiasa tunazo lishwa na wanasiasa uchwara.
Mm kabla ya kuangalia video nilidhani walimpiga na kumchomea maharage yake.
Kwahiyo ww mtoa mada ungekuwa ni ww kati ya hiyo adhabu aliyo pewa huyo jamaa na kuwekwa jera miezi 8 au mwaka ungechagua ipi?

TAARIFA KAMILI YA KIJANA ALIEPIGWA NA POLISI KWENYE MSAFARA WA MWENGE.

Kutoka kwa Twaha Mwaipaya

Tukio hili limetokea Kijiji cha Nkololo Kata ya NKOLOLO Wilaya ya BARIADI, Kijana mwendesha bodaboda aliepakia alizeti kwenye pikipiki yake aliingia barabarani kutoka barabara za mitaa inamaana alikuwa HAJUI kinachoendea njia Kuu alivyotokeza ghafla Polisi walimsimamisha kwa Kasi ikawa ngumu kusimama kwa haraka kama unavyojua vyombo vya Moto.

Baada ya kusimama Polisi na mgambo wakaanza kumpiga hapo mchukua video amechukuwa wakati Kijana huyu ameshapigwa, Baada ya kipigo wakamwaga alizeti zake mtaroni kama inavyoonekana kwenye video.

Kisa cha yote haya ni MSAFARA wa MWENGE kama unavyoona mwisho wa video hii inaonekana MSAFARA wa MWENGE unapita.

Baada ya hapo Kijana huyu alikamatwa Mpaka sasa yupo kituo cha Polisi Nkololo.

Kwa SASA nimempata MTU aliechukuwa video ya tukio nikamuomba video za ziada amenitumia.

Baada ya tukio hili kusambaza mtandaoni Polisi wamemfuata mtu aliechukuwa video na kusema watamkomesha kwa SASA Kijana aliechukuwa video yupo katika mashaka makubwa, anahitaji Masada wetu aweze kuondoka kijijini hapo kuokoa maisha yake.

Amenipatia namba yake kwaajili ya Msada wa dharula nimeshindwa kuiweka hapa Namba kwaajili ya usalama wake, kama kuna MTU anahitaji kumpa msaada wa haraka aje inbox.

Pia tunaomba wanasheria wafuatilie ili dereva BODABODA aachiliwe huru

Naomba tupate sauti Vijana hawa wawe salama

Screenshot_20260805-190148.jpg

Screenshot_20260805-190106.jpg

Tembelea page ya FB ya huyo Twaha Mwaipaya ujionee mwenyewe.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwahiyo adhabu yake ilikuwa kutupa mzigo wake mtaroni ?
Acha kuwa na hisia za ajabu.
Mambo mengine tumia akili ya kawaida tu, we unavoona kaonewa..?

Sometimes hilo kama funzo tu, kwani wanajeshi ujaskia mara ngapi wanakamata watu wana wambia wagale gale hilo sula unazungumziaje..?
 
TAARIFA KAMILI YA KIJANA ALIEPIGWA NA POLISI KWENYE MSAFARA WA MWENGE.

Kutoka kwa Twaha Mwaipaya

Tukio hili limetokea Kijiji cha Nkololo Kata ya NKOLOLO Wilaya ya BARIADI, Kijana mwendesha bodaboda aliepakia alizeti kwenye pikipiki yake aliingia barabarani kutoka barabara za mitaa inamaana alikuwa HAJUI kinachoendea njia Kuu alivyotokeza ghafla Polisi walimsimamisha kwa Kasi ikawa ngumu kusimama kwa haraka kama unavyojua vyombo vya Moto.

Baada ya kusimama Polisi na mgambo wakaanza kumpiga hapo mchukua video amechukuwa wakati Kijana huyu ameshapigwa, Baada ya kipigo wakamwaga alizeti zake mtaroni kama inavyoonekana kwenye video.

Kisa cha yote haya ni MSAFARA wa MWENGE kama unavyoona mwisho wa video hii inaonekana MSAFARA wa MWENGE unapita.

Baada ya hapo Kijana huyu alikamatwa Mpaka sasa yupo kituo cha Polisi Nkololo.

Kwa SASA nimempata MTU aliechukuwa video ya tukio nikamuomba video za ziada amenitumia.

Baada ya tukio hili kusambaza mtandaoni Polisi wamemfuata mtu aliechukuwa video na kusema watamkomesha kwa SASA Kijana aliechukuwa video yupo katika mashaka makubwa, anahitaji Masada wetu aweze kuondoka kijijini hapo kuokoa maisha yake.

Amenipatia namba yake kwaajili ya Msada wa dharula nimeshindwa kuiweka hapa Namba kwaajili ya usalama wake, kama kuna MTU anahitaji kumpa msaada wa haraka aje inbox.

Pia tunaomba wanasheria wafuatilie ili dereva BODABODA aachiliwe huru

Naomba tupate sauti Vijana hawa wawe salama

View attachment 3643887
View attachment 3643888

Tembelea page ya FB ya huyo Twaha Mwaipaya ujionee mwenyewe.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hii taarifa imekaa upande mmoja sana..
Ni tofauti na taarifa ya polisi itakavokuwa.

Ni vile mnawachukia tu ila deep down boda boda ndio kazingua.
 
ndio nani huyo na wawapi gentleman?🐒
 
Hata zikitumika malalamiko yako pale pale.
Askari bora alalamikiwe kwa strict enforcement of the law kuliko kulalamikiwa kwa kutekeleza majukumu yake kinyume cha sheria. You don’t enforce a law by breaking another law!
 
Back
Top Bottom