Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Nimeona hayo maharage hayakumwagika na mtaro haikuwa na maji.Kwanini walitupa chakula kwenye mtaro?
Hiyo ndio hukumu ya hilo kosa?
Kosa moja halihalalishi kosa lingine.
Nimeona hayo maharage hayakumwagika na mtaro haikuwa na maji.Kwanini walitupa chakula kwenye mtaro?
Hiyo ndio hukumu ya hilo kosa?
Kosa moja halihalalishi kosa lingine.
Swali langu bado lipo pale pale,Nimeona hayo maharage hayakumwagika na mtaro haikuwa na maji.
Tumeliona tutalifanyia kaziView attachment 3643423
Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha?
Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa amebeba maharage yake akienda kutafuta riziki ya watoto wake, lakini mnafanya hivi.
Kumbukeni hili kabla ya kuumiza maisha ya mtu; fikirieni kwanza watu wanaomtegemea nyuma yake.
Katika hii dunia ya Mungu, hebu tutende wema kuliko ubaya. Tuwekeze zaidi katika matendo ya huruma, utu na upendo kwa wengine.
Hata ukiwa kwenye nafasi ya cheo au mamlaka, kumbuka kuwa madaraka ni ya muda, lakini wema unaowatendea watu hubaki kwenye kumbukumbu zao.
Walitakiwa kuyatuoa hata jalalani. Kuyatupa mtaroni ni favour tu.Swali langu bado lipo pale pale,
Kwanini walitupa chakula/magunia yenye chakula kwenye mtaro?
Sijauliza kua maharage yalimwagika au hayakumwagika,wala sijataka kujua kama kwenye mtaro kulikua na maji,hiyo ni issue nyingine.
Walitakiwa na nani?Walitakiwa kuyatuoa hata jalalani. Kuyatupa mtaroni ni favour tu.
Nimeiangalia hii video na kugundua kuwa jamaa hajapigwa bali amepewa adhabu ya kulitoa hilo gunia ambalo ni zima hapo mtaroni. Kuthibitisha hili baada ya kuona gunia la pili linatobo, hawakulidondosha mtaroni maana maharage yangemwagika. Kuna muda tuangalie vitu vingine kwa jicho la udadisi wenye kutafuta uhalisia wa jambo na si kuwa biased ndugu zangu.
That's for sure. Ndio maana wanakunywa sana pombe na kuvuta sigara. Sometimes wanasaidia sana lakini.But wanaishi na majuto kisaikolojia hawapo sawa pia
Illiteracy ni kubwa sana nje ya Mkoa wa Dar.Sasa huyo jamaa alikuwa hajuwi kuwa hahusiki kwenye huo msafara??
Anaingia wakati hahusiki alitegemea nini?
Pole yaoThat's for sure. Ndio maana wanakunywa sana pombe na kuvuta sigara. Sometimes wanasaidia sana lakini.
Alitegemea kupata Haki yake. Haki ni kitu au jambo ambalo mtu anastahili kulipata.Sasa huyo jamaa alikuwa hajuwi kuwa hahusiki kwenye huo msafara??
Anaingia wakati hahusiki alitegemea nini?
Wewe naye hazikutoshi unakuwaje na urafiki na wauaji?Kuna rafiki yangu ni polisi , kuna namna anajitenga sana na jamii na hata familia, nahisi ile kawaida ya utu haipo tena.
Ndo hawa tunasema wana mavi kichwani 😂😂🙌Wote waliokuja na mihemko kuhusu hii mada hawana bando la kuangalia mjengeo, wanakwenda na upupu wa mtoa mada
Critical thinking 🧐Ni upumbavu tu Hilo li kibatari lenu la uchawi na matambiko alilowaachia babu yenu ndiyo limewafanya polisi wawe wanyama
Unajua kusoma lakini?Kwa hiyo harusi za watu kwa sababu hazipo kisheria basi una uhuru wa kwenda na kuvamia harusi ya mtu na usiwajibishwe?
Je yeye kisheria alikuwa sahihi kuingilia msafara wa mwenge hujui kuwa alikuwa anahatarisha maisha yake?
Baada ya kuingilia nini kimetokea? Tusitetee upuuziSasa huyo jamaa alikuwa hajuwi kuwa hahusiki kwenye huo msafara??
Anaingia wakati hahusiki alitegemea nini?
Classmate bro, tena dawati moja na michezo yote ya utotoni, na kipaimara tumepata wote.Wewe naye hazikutoshi unakuwaje na urafiki na wauaji?
Sio wagawie watoto yatima? Bongo hii kuna watu hata msosi wa 500 wanashindwa kumudu.Walitakiwa kuyatuoa hata jalalani. Kuyatupa mtaroni ni favour tu.