The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hujajibu hata swali langu moja katika maswali niliyo kuuliza,Rais wa Ufaransa pale New York,
aliambiwa na polisi kaa pembeni kuna msafara wa Rais Donald J. Trump unapita, na akakaa pembeni bila shuruti japo aliwaomba sana wanausalama akatize msafara na kuelekea airport alikokua akienda.
Kwakua wanausalama hao walijua hatari ambayo ingempata Rais huyo wa Ufaransa, hawakumruhusu akatize barabara iliyokusudiwa kua ina msafara wa Trump.
Mwenge wa uhuru na bendera ya taifa ni vitu vyenye heshma mno Tanzania. Ukidharau, utashuritishwa kuvitii.
we tazama hata kando ya video hiyo utagundua kwamba hakuna anaekatiza barabara, vijana wa bodaboda wamejikusanya kwenye kijiwe chao wakisubiri msafara upite waendelea kuchapa kazi. Lakini muungwana, akaona ni ujinga mtupu.
Gentleman,
daima mtu anaekaribia kufa hua mbishi, mjeuri na mwenye kiburi mno. Wanausalama wamekua wangwana kupindukia dhidi ya huyo jamaa ambae alikua anahatarisha maisha yake mwenyewe kwa kiburi cha kijinga kabisa 🐒
Kuleta issue ya rais wa France sio justification ya alichofanyiwa huyo jamaa kua ni sahihi au ni ubinadamu,
Hapa hatupo kwenye mashindano,ungejibu tu maswali yangu kwanza.