Aliingilia Msafara wa Mwenge na hicho ndicho Polisi waliamua kumfanyia. Je, ni haki?

View attachment 3643423
Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha?

Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa amebeba maharage yake akienda kutafuta riziki ya watoto wake, lakini mnafanya hivi.

Kumbukeni hili kabla ya kuumiza maisha ya mtu; fikirieni kwanza watu wanaomtegemea nyuma yake.

Katika hii dunia ya Mungu, hebu tutende wema kuliko ubaya. Tuwekeze zaidi katika matendo ya huruma, utu na upendo kwa wengine.

Hata ukiwa kwenye nafasi ya cheo au mamlaka, kumbuka kuwa madaraka ni ya muda, lakini wema unaowatendea watu hubaki kwenye kumbukumbu zao.
 
Wanajisaau kwa kweli, lakini pia wananchi wanaonewa tu ila hakuna pa kupigia kelele.
NB: kuna siku yaja watu wataamka!
 
Yes hata mi nimeliona hilo..
Sema ni vile watu wanakua na chuki hawafanyi hata reasoning..

Kuna mambo mengine mbna mnayaangalia kwa upande wa kuonewa tu..
Hivo kusema sheria zimewekwa ili zivunjwe au laaa..
Mtu anazingua lazima wamwajibishe.
Hakuna mtu anafanyia visa na polisi from no where wakuu.

Na hapo ni adhabu je wangesema wafate vifungu vya sheria mnajua wangemfikisha wapi huyo jamaa.
Wote waliokuja na mihemko kuhusu hii mada hawana bando la kuangalia mjengeo, wanakwenda na upupu wa mtoa mada
 
View attachment 3643423
Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha?

Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa amebeba maharage yake akienda kutafuta riziki ya watoto wake, lakini mnafanya hivi.

Kumbukeni hili kabla ya kuumiza maisha ya mtu; fikirieni kwanza watu wanaomtegemea nyuma yake.

Katika hii dunia ya Mungu, hebu tutende wema kuliko ubaya. Tuwekeze zaidi katika matendo ya huruma, utu na upendo kwa wengine.

Hata ukiwa kwenye nafasi ya cheo au mamlaka, kumbuka kuwa madaraka ni ya muda, lakini wema unaowatendea watu hubaki kwenye kumbukumbu zao.
polisi ni mafelia yaani yaliokotezwa kutoka felia ndo maana yanafanyaga ujinga
 
Dawa ya moto ni moto. Hii nchi inahitaji kila civilian awe tayari kufa katika mapambano ya kupigania haki. Otherwise, hawa majambazi wa Serikali ya CCM hawatakaa watuheshimu!
Wewe ndiye mtu wa kwanza kuandika comment ya maana tangu thread ifunguliwe. Polisi wanafanya hivi kwasababu wananchi tunakuwa wanyonge, eti tunalalamika badala ya kujibu mapigo. Yaani hata nyumbu wana nafuu.
 
View attachment 3643423
Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha?

Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa amebeba maharage yake akienda kutafuta riziki ya watoto wake, lakini mnafanya hivi.

Kumbukeni hili kabla ya kuumiza maisha ya mtu; fikirieni kwanza watu wanaomtegemea nyuma yake.

Katika hii dunia ya Mungu, hebu tutende wema kuliko ubaya. Tuwekeze zaidi katika matendo ya huruma, utu na upendo kwa wengine.

Hata ukiwa kwenye nafasi ya cheo au mamlaka, kumbuka kuwa madaraka ni ya muda, lakini wema unaowatendea watu hubaki kwenye kumbukumbu zao.
Ukienda kujiunga hiyo kazi ni sawa na kuuza roho yako kwa shetani
 
Kwahiyo muungwana,
kwa makusudi kabisa kaingilia msafara? Anaelekezwa na wanausalama kwamba usipite huku na yeye analazimisha kukiuka maelekezo kwa dharau, kiburi na ujeuri, right?

kwahiyo alijiona yeye ni bora zaidi, ni hodari zaidi na ambao wemetii maelekezo bila shuruti, right?

Na kwamba mtoa hoja kaja jukwaani kutafuta public sympathy kwa mgongo wa mtu jeuri na mkiuka taratibu, right?

angepoteza maisha je, ingekuaje?🐒
 
Watz tupunguze tabia ya kuchukulia kila jambo kwa mtazamo wa chuki za kisiasa tunazo lishwa na wanasiasa uchwara.
Mm kabla ya kuangalia video nilidhani walimpiga na kumchomea maharage yake.
Kwahiyo ww mtoa mada ungekuwa ni ww kati ya hiyo adhabu aliyo pewa huyo jamaa na kuwekwa jera miezi 8 au mwaka ungechagua ipi?
 
Kwahiyo muungwana,
kwa makusudi kabisa kaingilia msafara?
Ukiangalia hiyo clip haionyeshi kua huyo jamaa ameingilia msafara,bali inaonyesha magunia yake yanafunguliwa kutoka kwenye Pikipiki yake,
Anaelekezwa na wanausalama kwamba usipite huku na yeye analazimisha kukiuka maelekezo kwa dharau, kiburi na ujeuri, right?
Clip haijaonyesha kua anaelekezwa asipite sehemu yeyote ile,pengine huenda wala alikua hajui kinacho endelea.
kwahiyo alijiona yeye ni bora zaidi, ni hodari zaidi na ambao wemetii maelekezo bila shuruti, right?
Sawa tuseme amekosea,je hukumu yake ni ipi kwa mujibu wa sheria? nini maana ya Rule of law?
Magunia yake ya chakula kutupwa kwenye mtaro,wewe unaona ni sawa? hiyo ndio hukumu ya hilo kosa alilolifanya?

Mimi hua sipo kwenye hayo mabishano ya kisiasa bali nimechangia kwa mujibu wa hiyo clip,so tuliza mihemko ili unijibu kwa akili yako.
 
Ukiangalia hiyo clip haionyeshi kua huyo jamaa ameingilia msafara,bali inaonyesha magunia yake yanafunguliwa kutoka kwenye Pikipiki yake,

Clip haijaonyesha kua anaelekezwa asipite sehemu yeyote ile,pengine huenda wala alikua hajui kinacho endelea.

Sawa tuseme amekosea,je hukumu yake ni ipi kwa mujibu wa sheria? nini maana ya Rule of law?
Magunia yake ya chakula kutupwa kwenye mtaro,wewe unaona ni sawa? hiyo ndio hukumu ya hilo kosa alilolifanya?

Mimi hua sipo kwenye hayo mabishano ya kisiasa bali nimechangia kwa mujibu wa hiyo clip,so tuliza mihemko ili unijibu kwa akili yako.
Rais wa Ufaransa pale New York,
aliambiwa na polisi kaa pembeni kuna msafara wa Rais Donald J. Trump unapita, na akakaa pembeni bila shuruti japo aliwaomba sana wanausalama akatize msafara na kuelekea airport alikokua akienda.
Kwakua wanausalama hao walijua hatari ambayo ingempata Rais huyo wa Ufaransa, hawakumruhusu akatize barabara iliyokusudiwa kua ina msafara wa Trump.

Mwenge wa uhuru na bendera ya taifa ni vitu vyenye heshma mno Tanzania. Ukidharau, utashuritishwa kuvitii.

we tazama hata kando ya video hiyo utagundua kwamba hakuna anaekatiza barabara, vijana wa bodaboda wamejikusanya kwenye kijiwe chao wakisubiri msafara upite waendelea kuchapa kazi. Lakini muungwana, akaona ni ujinga mtupu.

Gentleman,
daima mtu anaekaribia kufa hua mbishi, mjeuri na mwenye kiburi mno. Wanausalama wamekua wangwana kupindukia dhidi ya huyo jamaa ambae alikua anahatarisha maisha yake mwenyewe kwa kiburi cha kijinga kabisa 🐒
 
View attachment 3643423
Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha?

Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa amebeba maharage yake akienda kutafuta riziki ya watoto wake, lakini mnafanya hivi.

Kumbukeni hili kabla ya kuumiza maisha ya mtu; fikirieni kwanza watu wanaomtegemea nyuma yake.

Katika hii dunia ya Mungu, hebu tutende wema kuliko ubaya. Tuwekeze zaidi katika matendo ya huruma, utu na upendo kwa wengine.

Hata ukiwa kwenye nafasi ya cheo au mamlaka, kumbuka kuwa madaraka ni ya muda, lakini wema unaowatendea watu hubaki kwenye kumbukumbu zao.
Wakati mwingine kama vile tuna watu mashetani katika nchi hii
After all katiba inasemaje kuhusu misafara kisheria?? Wa Mwenge haupo kabisa ni mambo ya kujitungia tu hasa kwa nchi inayo dharau sheria zake.
 
Watz tupunguze tabia ya kuchukulia kila jambo kwa mtazamo wa chuki za kisiasa tunazo lishwa na wanasiasa uchwara.
Mm kabla ya kuangalia video nilidhani walimpiga na kumchomea maharage yake.
Kwahiyo ww mtoa mada ungekuwa ni ww kati ya hiyo adhabu aliyo pewa huyo jamaa na kuwekwa jera miezi 8 au mwaka ungechagua ipi?
Taratibu za kisheria ndio zinasema hivyo kwamba awekwe jela miez 8 au umetunga?

Wangemsogeza tu pembeni na marage yake aendelee na safari zake maana sidhani kama ni makusudi alitaka kuingilia

misconduct za hivi vyombo neio zinaleta chuki na si wanasiasa, tusidanganyane
 
Back
Top Bottom