Alijifanya kidume, nimemlaza lock up

Kakupiga bila sababu una hakika..?
Hebu tuma picha yako kwanza tuone ni bila sababu au ipo sababu sema wachache ndo wanaweza ijua!. Tuma picha tuone.
Wanaokamata huwa hawaangalii au kuamini kunakuwa na sababu iliomfanya jamaa akampiga...
 
Haya Hongera sana maana hujataka kudhulumiwa haki yako baada ya kutoa huduma......ila kuweni na huruma starehe si mnapata wote lakini? Then,hakuna mwanaume mjinga anaweza kumpiga mtu bila hatia ..........
 
Ulimkosea nini! Huwezi pigwa bila sababu
 
Roho mbaya iyo!
 
Utanyimwa dyu.dyu
 
Nadhani kachanganyikiwa, teke la mbavu si masihara
Umenichekesha sana mkuu..Teka la mbavu..ila jamaa nae aliwaza nini kunyanyua kabisaa mguu mbele ya mwanamke??
Kibao kinatosha kabisaaa af hata namna ya kujitetea ukimchapa kibao ni rahis tu kwamba hasira zilikupanda ukashindwa kuzuia mkono.....ila teke??!!! Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama ukikuwa unaleta kiburi na na zarau kwa kijan wa watu Basi hata teke la tako ni sawa kwako

Mim mwanmke mwenye zarau hpn kwa kweli
Au ulikutwa unatuma msg za mapenz na kutoa sir za familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…