stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Wanaokamata huwa hawaangalii au kuamini kunakuwa na sababu iliomfanya jamaa akampiga...Kakupiga bila sababu una hakika..?
Hebu tuma picha yako kwanza tuone ni bila sababu au ipo sababu sema wachache ndo wanaweza ijua!. Tuma picha tuone.