Alijifanya kidume, nimemlaza lock up

Alijifanya kidume, nimemlaza lock up

Kakupiga bila sababu una hakika..?
Hebu tuma picha yako kwanza tuone ni bila sababu au ipo sababu sema wachache ndo wanaweza ijua!. Tuma picha tuone.
Wanaokamata huwa hawaangalii au kuamini kunakuwa na sababu iliomfanya jamaa akampiga...
 
Haya Hongera sana maana hujataka kudhulumiwa haki yako baada ya kutoa huduma......ila kuweni na huruma starehe si mnapata wote lakini? Then,hakuna mwanaume mjinga anaweza kumpiga mtu bila hatia ..........
 
Alijifanya kidume,anajua kupigana. Kanipiga kofi na teke la mbavu bila sababu za msingi, nikasema hunijui wewe kama na mapenzi yaishe tu. Nikaenda kumchukulia RB, polisi wamemkamata wamemlaza lock up.

Sasa hivi eti ndio akili zinamkaa sawa anajifanya kunitumia wajumbe wamuombee msamaha.
Ulimkosea nini! Huwezi pigwa bila sababu
 
Alijifanya kidume,anajua kupigana. Kanipiga kofi na teke la mbavu bila sababu za msingi, nikasema hunijui wewe kama na mapenzi yaishe tu. Nikaenda kumchukulia RB, polisi wamemkamata wamemlaza lock up.

Sasa hivi eti ndio akili zinamkaa sawa anajifanya kunitumia wajumbe wamuombee msamaha.
Roho mbaya iyo!
 
Alijifanya kidume, anajua kupigana. Kanipiga kofi na teke la mbavu bila sababu za msingi, nikasema hunijui wewe kama na mapenzi yaishe tu. Nikaenda kumchukulia RB, polisi wamemkamata wamemlaza lock up.

Sasa hivi eti ndio akili zinamkaa sawa anajifanya kunitumia wajumbe wamuombee msamaha.
Utanyimwa dyu.dyu
 
Nadhani kachanganyikiwa, teke la mbavu si masihara
Umenichekesha sana mkuu..Teka la mbavu..ila jamaa nae aliwaza nini kunyanyua kabisaa mguu mbele ya mwanamke??
Kibao kinatosha kabisaaa af hata namna ya kujitetea ukimchapa kibao ni rahis tu kwamba hasira zilikupanda ukashindwa kuzuia mkono.....ila teke??!!! Hahahaha 😂😂😂
 
Kama ukikuwa unaleta kiburi na na zarau kwa kijan wa watu Basi hata teke la tako ni sawa kwako

Mim mwanmke mwenye zarau hpn kwa kweli
Au ulikutwa unatuma msg za mapenz na kutoa sir za familia
 
Back
Top Bottom