Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Aseee sikujua kama kuna movie hapa, britanicca tag me on every episode
 
To me NISHA ndo code ngumu kuing'amua
Huyo ni agent si lazima awe mtu mkubwa tunayemjua sana. Tutafute ni mbongo gani mwenye asili ya Rwanda (ambaye ni Rwandese ila anatumia passport ya Tanzania akijifanya mbongo). Ambaye somehow sio myonge mpaka anapanga appointment na Rais, ila pia alipewa kazi si muda mrefu kwenye wadhifa fulani au cheo fulani hata kama ni private sector. Tafuta
 
Kisha akafutwa kazi kabla ya ramadhani πŸ˜‚
 
Hadithi Tamu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…