Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Baada ya MASUDI kufika kwa katibu na simu ikapigwa kwa SASHA, kwamba wana jambo Muhimu la kumueleza Huku sauti ikisikika Kama kuna jambo haliko Sawa, ikabidi amuambie BEGA wa kushoto kwamba mwambie NISHA anisubirie nje kidogo, alitahamaki badala ya kumweleza yeye kwakuwa wamekaa wote Ila alimweleza BEGA WA KUSHOTO amwambie NISHA,

Baada ya NISHA kutoka nje zikaanza serious screening kwa kila aliye pale na wakakuta NISHA Ana Vimiminika kadhaa Kama ambavyo MUHA alikuwa kasema, ikabidi aitwe MUHA, na watu wa Ulinzi akawekwa mtu kati, jambo ambalo halikutegemewa SASHA akafichwa kutokana na protocol husika, na uwajibishwaji wa aina ile si wa mchezo,

Watu wa TWISHI wakamchukua wakamuweka mtu kati NISHA na MUHA,

MUHA nahojiwa amepata wapi taarifa zile ? Lakin pili wakemia wakalazimika kutumika kujua nini NISHA alibeba, ikathibitika pasina Shaka kwamba ni sumu kutokana na ingredients zake,

TWISHI kupitia KITUO CHONGEO wakambana sana NISHA kaanza kufunguka japo ilichukua muda sana kusema ukweli,

Ikagundulika Tarehe ** 024 Mbele ya Tawi la Benk ya NNAMDI ilipaki gari landcruiser prado yenye namba T* D*** ikiwa na MABENDERA ni mzee wa makamo ambaye pia alikuwa ni msaidizi wa SASHA kwenye ukanda wa South Afrika wala si Madagaska na Huyu amehusika zaidi aliitwa mabendera kisa meli zote zilizokuwa zinasafirisha nyusi za Sungura Kimagendo Kwenda ngambo alikuwa anaweka bendera za south Afrika yake, wakati nchi haijui, na ni Kama mshauri wa vijana wa 70,
Basi Waliletewa bahasha kubwa maana hawapokei kupitia benki, na huo mzigo ilikuwa kwa ajili ya kutekeleza Suala hili,

Wakagundua kwamba si wavulana wa miaka ya 70 tu wanaotaka wanayotaka bali nyuma kuna mkono wa Mkuu wa wale wa TWISHI, na Baadhi ya wafanyakazi wa ofis ya SASHA,

Ikaandikwa report uchunguzi ukaendelea huku NISHA akiendelea kushikiliwa kwa mahojiano zaidi, nini hasa lengo la kufanya hivo,

MUHA alihojiwa na maelezo yote alosema ni Kama ambavyo walipata kwa NISHA kwa kumtega asilimia 60 yalioana,

Ikabidi sasa mzee yule afuatiliwe kwa kina kabisa kabla hawa hawajapeleka faili kwa SASHA, katika kufuatilia zaidi Hiyo ya sumu ilikuwa cha mtoto

Kuna mbinu ambayo ilikuwa imepangwa kabla ya Moon mtufuku wa Mazaran mtu awe kaondoka kabisa, si kubaki hai bali akawahi matendo ya watesalonike,

Ikabainika huyo mzee MABENDERA mtandao mkubwa sana sana ambao upo hata pale pale kwa ofis ya SASHA , ikabidi wananwe zaidi wakatajwa watu wengi katribani miezi 3 sasa NISHA Kataja orodha ya watu 12 wanaojua na kuhusika na mpango ule na orodha itawekwa,

Baada ya kubanwa zaidi ikabidi NISHA awapeleke kwenye vikao wanapogifanyia na huko ndo orodha itatajwa,

Akawekwa kwenye gari wakaelekea kwenye Ukanda Magaribi ushoroba, wakawa wanaelekea Kwenye kwenye gari Simu ya NISHA ambayo wameishika ikaita Kama Mara Tatu na namba inayopiga si namba Kama tunazotumia Sisi wakamsogezea NISHA aongee,

Simu kupokelewa ikakwekwa Loud speaker

Maongezi kuanza kumbe sauti ni ya ………..

ITAENDELEA NA ITAKUWA FINAL EPISODE IKIWA NA MAJINA MA KILA KITU ,
Tunasubiri hiyo final
 
Sasa hapa unatuandikia au unajiandikia Shehe?😀
 
Back
Top Bottom