Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Tatizo Bashite mafia ,ripoti ya us embassy imemtambua kama mmoja wa watu walionyima haki ya kuishi baadhi ya watu.
Haya mambo ukiyaangalia yanafanyika nchi nyingi
Sema jamaa yeye akiagizwa kazi
Anatekeleza si unajua hana mshipa wa aibu
Unawafanyia watu kazi alafu wewe unabeba lawama....
Hapo ndiyo shuguli....

Ova
 
Haya mambo ukiyaangalia yanafanyika nchi nyingi
Sema jamaa yeye akiagizwa kazi
Anatekeleza si unajua hana mshipa wa aibu
Unawafanyia watu kazi alafu wewe unabeba lawama....
Hapo ndiyo shuguli....

Ova
Kabisa aliyekamatwa na ngozi ndiyo mwizi wa ng'ombe....wenzake wanafanya bila kuacha traces ila yeye alikuwa anafanya waziwazi mpaka inajulikana ni yeye.
 
Ni jumapili Nyingine ambayo imejaa utulivu wa aina yake, ni miezi kadhaa imepita Mrembo ambaye ntampa jina la NISHA, Ambaye alitumwa kwa kazi maalumu kutafta Nywila kwa Boss Ambaye nitamuita SASHA,

Ikatangazwa kazi na Kampuni fulan maarufu hapo nchini, lengo ni njia ya mwanadada NISHA toka Nchi ya jiran kwa wafugaji ili apewe kazi kwa maelekezo maalumu akisaidiana na mmoja wa wapelelezi ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye taasisi kubwa ya kupeleleza ambayo kwa jina kwa uzi huu ntaiita TWISHI,

Huyu Dada mrembo mrefu mithili ya twiga alikuwa amemaliza masomo yake nchini Urusi ila alikuwa anatumia Passport ya nchi ya boss SASHA, kabla ya hapo dada alishawahi fanya matukio mawili makubwa, miaka kadhaa kabla hajaenda Urusi alikuwa na genge lake la wadada ambao walidukua taarifa kutoka kwenye laptop ya waziri wa nchi hiyo hiyo akiwa hotelini.

View attachment 3055291
kabla NISHA au genge lake halijatekeleza jambo uwa wanahakikisha wanapata usaidizi toka kwa mamlaka za viongozi vijana waliozaliwa miaka ya 1970, mmoja alikuwa kwenye ngazi ya kuhakikisha mpango unasukwa vizuri, wasiweze kupatikana kwa kuwa tracked, hata malipo yao ni cash siyo benk au mobie money,

Kazi inaanza sasa ,
NISHA anaamka asubuhi kuelekea kuanza majukumu akiwa na gari aina ya lexus, anaingia getin kama kawaida, anakaguliwa kila kitu, anaruhusiwa, wakati wa kuscan kuna kitu kilionekana ila walinzi walipuuzia kwa kuwa alikuwa ana ingia mara kwa mara na vipodozi na na perfume kama wanawake kawaida yao ilivyo, kumbe mle kwenye beg ana posionous perfume, na unga wa sumu wa kupakaa kwenye viti na faili lolote atakalogusa SASHA.

Alibeba aina 5 za sumu, kuna ya kupuliza, kuna ya kuweka kwenye kinywaji, kuna ya kumfanya asinzie, sumu hiii si ya kuua kabisa ila inadhoofisha mtu hadi kushindwa majukumu yake makubwa ndani ya muda mfupi yaan kwenye miezi miwili mtu nywele zinakuwa zimenyonyoka na kuisha kabisa, na mwili unavimba sana kupita kiasi,

akaingia kwenye majukumu akisubiria kwenye ofis ambayo lazima SASHA aingie, na alipea mashart kama anapuliza ndani awahi kuondoka eneo husika ili naye asidhulike maana unapopuliza ukawai kupata dawa ya kukuondolea madhara ndani ya nusu saa haudhuliki, ile ya kumwaga kwenye mafaili, ilikuwa ni kama kupuliza ineshindikana,

NISHA akiwa na wadada wengine wawili wanamwambia katibu wa SASHA kwamba kuna ujumbe muhimu wanataka kuonana naye, kama kawaida katibu ananyanyua simu kumpigia SASHA anapokea

Basi SASHA katika Mazungumzo akaruhusu wakaingie kumuona, NISHA anagonga kifua kwamba dili limekamilika vya kutosha hapa, na ile mpango wa vijana wa miaka ya 70, imekwiva sasa , na hitavuruga ratiba ya kuwa Mabosi kama yeye,

NISHA akanyanyuka kuelekea ofisi ya SASHA , Anafunguliwa mlango,

INAENDELEA hapa Mwendelezo: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu (2)
Ok
 
Back
Top Bottom