KIKI CORAL
Senior Member
- May 10, 2023
- 188
- 334
Code how to unlock JF code? error304
Ahaaaaa Ahaaaaa, aisee,Nope tumbili
fyddellIlikotokea: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu
NISHA akaingia kwenye ofisi alipokuwa SASHA, akiwaza kueleza sababu za kumpeleka pale na sababu haikuwa ya msingi ilikuwa kuzuga kuzungumzia Mambo ya Ukataji wa miti kule mzee wa Toronto aliposema patakuwa Kama toronto, ili SASHA anapogeuka tu Unga anao,
Kabla sababu ya kwanini yuko pale SASHA akapokea simu toka kwa KIBAIGWA man, kwamba kuna mtu anataka appointment naye, Ila SASHA akaidharau Hiyo simu, alikuwa ni mvulana mdogo tu anayefanya kazi ya maua kwa Jina maarufu MUHA, akaambiwa kwamba asubirie SASHA mwanaume huyu ana watu wana mazungumzo ofisin, na na vielelezo kabisa,
Kumbe huyu MUHA Ana watu ndani ya CTAR Ambao wanajua kila mipango ovu dhidi ya Boss ila hawako na Jamaa wa miaka ya 70 wala Yule Bos anayewalinda hawa vijana wa miaka Hiyo ambao wanakataa kwamba mtu Haiwezekani atoke Madagascar awe meya South Afrika ,
Akasisitiza Ana jambo la Muhimu sana kumweleza SASHA pale getini na kwa katibu wake wakasema, hii ishu ni kwa utaratibu wa appointment si kukurupuka, maana maeneo yale unaweza pewa kesi kubwa hata ukibishana na dereva tu
MUHA ikabidi amvute pembeni mzee wa kibaigwa, akamwambia ikabidi afunguke Kwamba huyo dada aloingia ndani ana Lexus na nguo za pink Suruali na t shirt atasababisha ama Nusu mlingoti au kwa mujibu wa anavyozinyaka Kama si nusu mlingoti basi ni siku 90 za kuwa hoi,
Hapo hapo wakaampuuza na kuendelea na shughuli zake Kwanza yeye akawekwa chini ya ulinzi kwamba mtu wa maua tena toka Migebuka Lini ukawa na Habari nyeti ?
Mmoja wa walinzi ambaye nampa jina la MASUDI akasema tusidharau wakaingia kwenye camera za scanning
Walianza kuangalia wakagundua kuna mambo wameyachukulia simple na ni Hatari, maana kuna liquid ambazo hawakukagua ni nini wakidhani ni perfume au maji,
Msaidizi wa MASUDI akanyanyua simu akapiga kwa katibu,
Katibu akamwambia kwamba Kuongea na SASHA ni ngumu au security service! sasa ikabidi masudi aache kazi pale Kwakuwa simu imedharauliwa ili akimbie kabisa Kwenda kumwambia ana kwa Ana
Akaenda alipofika, Ikabidi katibu kwa ku sweat haraka ananyanyua simu Kwenda kwa SASHA
ITAENDELEA … Je NISHA ALIKAMATWA???
Aisee nashinda nae hapa kijiwen sema nini mjomba ana matusi sio poa.Kitambooo
Mzalendo wa kweli
Kasome udaku, hapa ni kwa vichwa tuSijaelewa kitu hapa
Boko- Basihaya au?Basi haya
Kibaigwa simba chawene !!?yupo wizara gani huyo Kwa sasa!!?South Africa (Tanzania) Madagascar (Zanzibar) Moyor (Rais)
Ofisi ya rais management ya utumishi wa umma.Kibaigwa simba chawene !!?yupo wizara gani huyo Kwa sasa!!?
Duh Kibakwe na Kibaigwa zote zipo MakaoKibaigwa simba chawene !!?yupo wizara gani huyo Kwa sasa!!?
😹😹 tulia bana nisome codes za briiUmbea tu 🤣
Hii hapa part 2 Jchris14 fyddellIlikotokea: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu
NISHA akaingia kwenye ofisi alipokuwa SASHA, akiwaza kueleza sababu za kumpeleka pale na sababu haikuwa ya msingi ilikuwa kuzuga kuzungumzia Mambo ya Ukataji wa miti kule mzee wa Toronto aliposema patakuwa Kama toronto, ili SASHA anapogeuka tu Unga anao,
Kabla sababu ya kwanini yuko pale SASHA akapokea simu toka kwa KIBAIGWA man, kwamba kuna mtu anataka appointment naye, Ila SASHA akaidharau Hiyo simu, alikuwa ni mvulana mdogo tu anayefanya kazi ya maua kwa Jina maarufu MUHA, akaambiwa kwamba asubirie SASHA mwanaume huyu ana watu wana mazungumzo ofisin, na na vielelezo kabisa,
Kumbe huyu MUHA Ana watu ndani ya CTAR Ambao wanajua kila mipango ovu dhidi ya Boss ila hawako na Jamaa wa miaka ya 70 wala Yule Bos anayewalinda hawa vijana wa miaka Hiyo ambao wanakataa kwamba mtu Haiwezekani atoke Madagascar awe meya South Afrika ,
Akasisitiza Ana jambo la Muhimu sana kumweleza SASHA pale getini na kwa katibu wake wakasema, hii ishu ni kwa utaratibu wa appointment si kukurupuka, maana maeneo yale unaweza pewa kesi kubwa hata ukibishana na dereva tu
MUHA ikabidi amvute pembeni mzee wa kibaigwa, akamwambia ikabidi afunguke Kwamba huyo dada aloingia ndani ana Lexus na nguo za pink Suruali na t shirt atasababisha ama Nusu mlingoti au kwa mujibu wa anavyozinyaka Kama si nusu mlingoti basi ni siku 90 za kuwa hoi,
Hapo hapo wakaampuuza na kuendelea na shughuli zake Kwanza yeye akawekwa chini ya ulinzi kwamba mtu wa maua tena toka Migebuka Lini ukawa na Habari nyeti ?
Mmoja wa walinzi ambaye nampa jina la MASUDI akasema tusidharau wakaingia kwenye camera za scanning
Walianza kuangalia wakagundua kuna mambo wameyachukulia simple na ni Hatari, maana kuna liquid ambazo hawakukagua ni nini wakidhani ni perfume au maji,
Msaidizi wa MASUDI akanyanyua simu akapiga kwa katibu,
Katibu akamwambia kwamba Kuongea na SASHA ni ngumu au security service! sasa ikabidi masudi aache kazi pale Kwakuwa simu imedharauliwa ili akimbie kabisa Kwenda kumwambia ana kwa Ana
Akaenda alipofika, Ikabidi katibu kwa ku sweat haraka ananyanyua simu Kwenda kwa SASHA
ITAENDELEA … Je NISHA ALIKAMATWA???
Ushakuwa ubuyu 😹😹mods unganisha huu ubuyu
Niletee sambusa hapa Narung’ombe 😹😹Mm nauza sambusa huku kariakoo niwe makn kwenye nn😏
Mayor ni kizimkaziMayor kutoka magadaskak
Muha mla migebuka
I am totally in the dark, please tag me in the next episode.
Ila britanicca hata Kama hayuko jikoni lakini anawajua wapishi na anajua chakula kinavyopikwa.
eeh sema huu una pilipiliUshakuwa ubuyu 😹😹
Sema anasimulia kwa wenge, yy atulie ashushe vitu kwa idadieeh sema huu una pilipili
Huyu ndio britanica!Duh Kibakwe na Kibaigwa zote zipo Makao
ana mapoziSema anasimulia kwa wenge, yy atulie ashushe vitu kwa idadi