Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alitakiwa kujua kilichomtoa mwenzake ni kipi...so alipaswa kujipanga sana...na akicheza hapa katikati...watamlalua Tena..adui zake anao tangu kukalia kiti .
 
Ilikotokea: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

NISHA akaingia kwenye ofisi alipokuwa SASHA, akiwaza kueleza sababu za kumpeleka pale na sababu haikuwa ya msingi ilikuwa kuzuga kuzungumzia Mambo ya Ukataji wa miti kule mzee wa Toronto aliposema patakuwa Kama toronto, ili SASHA anapogeuka tu Unga anao,

Kabla sababu ya kwanini yuko pale SASHA akapokea simu toka kwa KIBAIGWA man, kwamba kuna mtu anataka appointment naye, Ila SASHA akaidharau Hiyo simu, alikuwa ni mvulana mdogo tu anayefanya kazi ya maua kwa Jina maarufu MUHA, akaambiwa kwamba asubirie SASHA mwanaume huyu ana watu wana mazungumzo ofisin, na na vielelezo kabisa,

Kumbe huyu MUHA Ana watu ndani ya CTAR Ambao wanajua kila mipango ovu dhidi ya Boss ila hawako na Jamaa wa miaka ya 70 wala Yule Bos anayewalinda hawa vijana wa miaka Hiyo ambao wanakataa kwamba mtu Haiwezekani atoke Madagascar awe meya South Afrika ,

Akasisitiza Ana jambo la Muhimu sana kumweleza SASHA pale getini na kwa katibu wake wakasema, hii ishu ni kwa utaratibu wa appointment si kukurupuka, maana maeneo yale unaweza pewa kesi kubwa hata ukibishana na dereva tu

MUHA ikabidi amvute pembeni mzee wa kibaigwa, akamwambia ikabidi afunguke Kwamba huyo dada aloingia ndani ana Lexus na nguo za pink Suruali na t shirt atasababisha ama Nusu mlingoti au kwa mujibu wa anavyozinyaka Kama si nusu mlingoti basi ni siku 90 za kuwa hoi,

Hapo hapo wakaampuuza na kuendelea na shughuli zake Kwanza yeye akawekwa chini ya ulinzi kwamba mtu wa maua tena toka Migebuka Lini ukawa na Habari nyeti ?

Mmoja wa walinzi ambaye nampa jina la MASUDI akasema tusidharau wakaingia kwenye camera za scanning

Walianza kuangalia wakagundua kuna mambo wameyachukulia simple na ni Hatari, maana kuna liquid ambazo hawakukagua ni nini wakidhani ni perfume au maji,

Msaidizi wa MASUDI akanyanyua simu akapiga kwa katibu,

Katibu akamwambia kwamba Kuongea na SASHA ni ngumu au security service! sasa ikabidi masudi aache kazi pale Kwakuwa simu imedharauliwa ili akimbie kabisa Kwenda kumwambia ana kwa Ana

Akaenda alipofika, Ikabidi katibu kwa ku sweat haraka ananyanyua simu Kwenda kwa SASHA

ITAENDELEA … Je NISHA ALIKAMATWA???
Nahisi yes, alikamatwa!
 
Muha anaweza kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa saccos au nisimpunguzie mamlaka ni kwamba alikuwa supreme leader au anaweza kuwa yule tumbili wa escrow.

Na mtu kutoka Madagascar kuja kuongoza south Africa ni SASHA mwenyewe.

Na mtu anayewalinda vijana wa miaka ile nadhani ni yule ambaye kwa yoga anajulikana kama born town.
 
Muha anaweza kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa saccos au nisimpunguzie mamlaka ni kwamba alikuwa supreme leader au anaweza kuwa yule tumbili wa escrow.

Na mtu kutoka Madagascar kuja kuongoza south Africa ni SASHA mwenyewe.

Na mtu anayewalinda vijana wa miaka ile nadhani ni yule ambaye kwa yoga anajulikana kama born town.
Na kibaigwa?
 
Back
Top Bottom