Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
CCM hawawekeani maji mezani unapokaribia uchaguzi....yaani mapaka SASHA mwana wa obama anatafutwa.....in Kikwete's voice.
😒😒😒 Kuna levels 6 kumfikia supreme moja ikibuma nyingine zinafukiaMzee Tulia 😂😂
Habari ya Hapo Getini mbona amscan watu vizuri ndg 🤣
Na mbona kama nisha anatoka kwa general kishingo aliyeshinda uchaguzi kwa asilimia 90+ na analindwa na mtoto wake vile......SASHA huyu mbona kama ni kiongozi mkuu wa nchi ya kusadikika na hao vijana wa miaka ya 1970 mbona ni kama akina Bumunda na mwanzo wa mwaka.
Nawaza tu!!
KitamboooBaada ya kusomazaidi ya mara 5 nimeelewa kila kitu.
Mzee wa kibakgwa ni mtu wa mfumo?
Muwe makini bana😒😒😒 Kuna levels 6 kumfikia supreme moja ikibuma nyingine zinafukia
Mm nauza sambusa huku kariakoo niwe makn kwenye nn😏Muwe makini bana
Tunaipenda sana bendera iwe wima Kila wakati
InterestingIlikotokea: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu
NISHA akaingia kwenye ofisi alipokuwa SASHA, akiwaza kueleza sababu za kumpeleka pale na sababu haikuwa ya msingi ilikuwa kuzuga kuzungumzia Mambo ya Ukataji wa miti kule mzee wa Toronto aliposema patakuwa Kama toronto, ili SASHA anapogeuka tu Unga anao,
Kabla sababu ya kwanini yuko pale SASHA akapokea simu toka kwa KIBAIGWA man, kwamba kuna mtu anataka appointment naye, Ila SASHA akaidharau Hiyo simu, alikuwa ni mvulana mdogo tu anayefanya kazi ya maua kwa Jina maarufu MUHA, akaambiwa kwamba asubirie SASHA mwanaume huyu ana watu wana mazungumzo ofisin, na na vielelezo kabisa,
Kumbe huyu MUHA Ana watu ndani ya CTAR Ambao wanajua kila mipango ovu dhidi ya Boss ila hawako na Jamaa wa miaka ya 70 wala Yule Bos anayewalinda hawa vijana wa miaka Hiyo ambao wanakataa kwamba mtu Haiwezekani atoke Madagascar awe meya South Afrika ,
Akasisitiza Ana jambo la Muhimu sana kumweleza SASHA pale getini na kwa katibu wake wakasema, hii ishu ni kwa utaratibu wa appointment si kukurupuka, maana maeneo yale unaweza pewa kesi kubwa hata ukibishana na dereva tu
MUHA ikabidi amvute pembeni mzee wa kibaigwa, akamwambia ikabidi afunguke Kwamba huyo dada aloingia ndani ana Lexus na nguo za pink Suruali na t shirt atasababisha ama Nusu mlingoti au kwa mujibu wa anavyozinyaka Kama si nusu mlingoti basi ni siku 90 za kuwa hoi,
Hapo hapo wakaampuuza na kuendelea na shughuli zake Kwanza yeye akawekwa chini ya ulinzi kwamba mtu wa maua tena toka Migebuka Lini ukawa na Habari nyeti ?
Mmoja wa walinzi ambaye nampa jina la MASUDI akasema tusidharau wakaingia kwenye camera za scanning
Walianza kuangalia wakagundua kuna mambo wameyachukulia simple na ni Hatari, maana kuna liquid ambazo hawakukagua ni nini wakidhani ni perfume au maji,
Msaidizi wa MASUDI akanyanyua simu akapiga kwa katibu,
Katibu akamwambia kwamba Kuongea na SASHA ni ngumu au security service! sasa ikabidi masudi aache kazi pale Kwakuwa simu imedharauliwa ili akimbie kabisa Kwenda kumwambia ana kwa Ana
Akaenda alipofika, Ikabidi katibu kwa ku sweat haraka ananyanyua simu Kwenda kwa SASHA
ITAENDELEA … Je NISHA ALIKAMATWA???
Shida yako ni Kichwa kikubwa ila ubongo kitenesiVipi tuendelee kula MATANGO PORI? Vipi hali ya Mtoto Pendwa South?
Je kuna kung'atwa sikio mtu hapa au ni story za 2020-2021?Ni jumapili Nyingine ambayo imejaa utulivu wa aina yake, ni miezi kadhaa imepita Mrembo ambaye ntampa jina la NISHA, Ambaye alitumwa kwa kazi maalumu kutafta Nywila kwa Boss Ambaye nitamuita SASHA,
Ikatangazwa kazi na Kampuni fulan maarufu hapo nchini, lengo ni njia ya mwanadada NISHA toka Nchi ya jiran kwa wafugaji ili apewe kazi kwa maelekezo maalumu akisaidiana na mmoja wa wapelelezi ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye taasisi kubwa ya kupeleleza ambayo kwa jina kwa uzi huu ntaiita TWISHI,
Huyu Dada mrembo mrefu mithili ya twiga alikuwa amemaliza masomo yake nchini Urusi ila alikuwa anatumia Passport ya nchi ya boss SASHA, kabla ya hapo dada alishawahi fanya matukio mawili makubwa, miaka kadhaa kabla hajaenda Urusi alikuwa na genge lake la wadada ambao walidukua taarifa kutoka kwenye laptop ya waziri wa nchi hiyo hiyo akiwa hotelini.
View attachment 3055291
kabla NISHA au genge lake halijatekeleza jambo uwa wanahakikisha wanapata usaidizi toka kwa mamlaka za viongozi vijana waliozaliwa miaka ya 1970, mmoja alikuwa kwenye ngazi ya kuhakikisha mpango unasukwa vizuri, wasiweze kupatikana kwa kuwa tracked, hata malipo yao ni cash siyo benk au mobie money,
Kazi inaanza sasa ,
NISHA anaamka asubuhi kuelekea kuanza majukumu akiwa na gari aina ya lexus, anaingia getin kama kawaida, anakaguliwa kila kitu, anaruhusiwa, wakati wa kuscan kuna kitu kilionekana ila walinzi walipuuzia kwa kuwa alikuwa ana ingia mara kwa mara na vipodozi na na perfume kama wanawake kawaida yao ilivyo, kumbe mle kwenye beg ana posionous perfume, na unga wa sumu wa kupakaa kwenye viti na faili lolote atakalogusa SASHA.
Alibeba aina 5 za sumu, kuna ya kupuliza, kuna ya kuweka kwenye kinywaji, kuna ya kumfanya asinzie, sumu hiii si ya kuua kabisa ila inadhoofisha mtu hadi kushindwa majukumu yake makubwa ndani ya muda mfupi yaan kwenye miezi miwili mtu nywele zinakuwa zimenyonyoka na kuisha kabisa, na mwili unavimba sana kupita kiasi,
akaingia kwenye majukumu akisubiria kwenye ofis ambayo lazima SASHA aingie, na alipea mashart kama anapuliza ndani awahi kuondoka eneo husika ili naye asidhulike maana unapopuliza ukawai kupata dawa ya kukuondolea madhara ndani ya nusu saa haudhuliki, ile ya kumwaga kwenye mafaili, ilikuwa ni kama kupuliza ineshindikana,
NISHA akiwa na wadada wengine wawili wanamwambia katibu wa SASHA kwamba kuna ujumbe muhimu wanataka kuonana naye, kama kawaida katibu ananyanyua simu kumpigia SASHA anapokea
Basi SASHA katika Mazungumzo akaruhusu wakaingie kumuona, NISHA anagonga kifua kwamba dili limekamilika vya kutosha hapa, na ile mpango wa vijana wa miaka ya 70, imekwiva sasa , na hitavuruga ratiba ya kuwa Mabosi kama yeye,
NISHA akanyanyuka kuelekea ofisi ya SASHA , Anafunguliwa mlango,
INAENDELEA hapa Mwendelezo: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu (2)