Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Nilivyoelwa hapa ni kuwa, kulikuwa na mpango wa kum-fix Bi. Mkubwa na wahusika ni wale Wahanga wa hivi karibuni.

Kama sio Bi. Mkubwa, basi target atakuwa mtu mwingine wa hadhi ya juu lakini sio bwana Kondakta japo bwana Kondakta anatajwa kuwa na ugomvi na vijana hao wa miaka ya 70.

NB: Vijana wa miaka ya 70 pia wanaweza kuwa ni Vijana wa kazi ndani ya kitengo.

Hii issue inaonekana ni sensitive na ilimlenga mtu mkubwa sana.
Mimi uelewa wangu naona kama anatoa taarifa ya yaliyotokea miaka ya nyuma kinyumenyume
 
Nikikumbuka siku Ile kule Arusha wakati Makonda alipopewa Microphone aongee mbele ya Mh Rais akatamka kwamba watu wanaomtukana Rais anawajua na wengine ni mawazir ila pale pale Samia alionekana akimtuliza Makonda kwa ishara kwamba aachane nayo hiyo issue kwa wakati huo, ukiunganisha na haya yanayoendelea sasa hivi naanza kupata picha.

Binafsi simkubali Makonda kabisa ila kumuua sio jambo jema .
 
Back
Top Bottom