Ngoja tusubiri kidogoSASHA huyu mbona kama ni kiongozi mkuu wa nchi ya kusadikika na hao vijana wa miaka ya 1970 mbona ni kama akina Bumunda na mwanzo wa mwaka.
Nawaza tu!!
We endelea nao tu maana hautafika mwisho hivi karibuni na michango ya wadau itakuwa mingi inayoweza kukupa uvivuNasubiri ifike mwisho, nisome yote
vijana wa miaka ya 70 (andazi na manyuzi).na ile mpango wa vijana wa miaka ya 70, imekwiva sasa , na hitavuruga ratiba ya kuwa Mabosi kama yeye,
Wewe tena naona jinsi utakavyokuwa miongoni mwa contributors wakubwa kwenye huu uzi. Uko powa lakini?Ngoja niweke kambi naona itakuwa km ya Yoda.!
Nitaurudia usiku
Naunga mkono hojaSako kwa bako.🙂
😹😹😹 lazima huu uzi una kitu.!!Wewe tena naona jinsi utakavyokuwa miongoni mwa contributors wakubwa kwenye huu uzi. Uko powa lakini?
Mkuu nakuomba uni-tag wakati kurasa jingine likishushwa hapa, ngoja niangalie limovie kabambe kwanza hapa.Ngoja niweke kambi naona itakuwa km ya Yoda.!
Nitaurudia usiku
Utanilipa shingapi boss 😹😹Mkuu nakuomba uni-tag wakati kurasa jingine likishushwa hapa, ngoja niangalie limovie kabambe kwanza hapa.
Ngoja niweke benchi hapa