Kuna wanaosema kishaondoka SA kaenda peponiSasha anaendeleaje kwanza huko Masandawana
Kuna wanaosema kishaondoka SA kaenda peponiSasha anaendeleaje kwanza huko Masandawana
Usijari my dear.Nikichelewa uwe unanitag mzee wa bondeni 😉
Yaani!Magu hatatulia hivi karibuni.
Wala ! Kwa code hizi sio rahisi, ile ya yoga ilikuwa wazi sana lakini tuliona ilivyo songa bila shida, ila mleta mada angeendelea moja kwa moja ili lolote likitokea iwe mada yake ishafikia wengi , nasema kwa maana ya uzi kufungwa.Hadithi hii ni tamu, ila ukweli
ni kuwa unahatarisha usalama wa Maxence Melo na JamiiForums kwa ujumla.
Njoo hapa niwe nakushika shika paja huku tunasoma story tamu kama hii kwenye ipad yetuFundo la juice,,gudyuuu
Tafuno la popcorn,,nyam nyam nyam
😅😅😅😅Kwamba huwezi kubaki kama ulivyoInataka kuwa kama dark days ya hapa jukwaani.
Ngoja tuweke kambi , nyuzi kama hizi hazikuachi wewe msomaji kama zilivyo kukuta.