Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Sijaelewa kitu hapa
Aisee mbona ameelezea na kutoa hint ambazo ni za mafumbo kidogo ila ni zinaelewekaSijaelewa kitu hapa
Hii ni noma kabisa namuona binti mrembo.Ilikotokea: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu
NISHA akaingia kwenye ofisi alipokuwa SASHA, akiwaza kueleza sababu za kumpeleka pale na sababu haikuwa ya msingi ilikuwa kuzuga kuzungumzia Mambo ya Ukataji wa miti kule mzee wa Toronto aliposema patakuwa Kama toronto, ili SASHA anapogeuka tu Unga anao,
Kabla sababu ya kwanini yuko pale SASHA akapokea simu toka kwa KIBAIGWA man, kwamba kuna mtu anataka appointment naye, Ila SASHA akaidharau Hiyo simu, alikuwa ni mvulana mdogo tu anayefanya kazi ya maua kwa Jina maarufu MUHA, akaambiwa kwamba asubirie SASHA mwanaume huyu ana watu wana mazungumzo ofisin, na na vielelezo kabisa,
Kumbe huyu MUHA Ana watu ndani ya CTAR Ambao wanajua kila mipango ovu dhidi ya Boss ila hawako na Jamaa wa miaka ya 70 wala Yule Bos anayewalinda hawa vijana wa miaka Hiyo ambao wanakataa kwamba mtu Haiwezekani atoke Madagascar awe meya South Afrika ,
Akasisitiza Ana jambo la Muhimu sana kumweleza SASHA pale getini na kwa katibu wake wakasema, hii ishu ni kwa utaratibu wa appointment si kukurupuka, maana maeneo yale unaweza pewa kesi kubwa hata ukibishana na dereva tu
MUHA ikabidi amvute pembeni mzee wa kibaigwa, akamwambia ikabidi afunguke Kwamba huyo dada aloingia ndani ana Lexus na nguo za pink Suruali na t shirt atasababisha ama Nusu mlingoti au kwa mujibu wa anavyozinyaka Kama si nusu mlingoti basi ni siku 90 za kuwa hoi,
Hapo hapo wakaampuuza na kuendelea na shughuli zake Kwanza yeye akawekwa chini ya ulinzi kwamba mtu wa maua tena toka Migebuka Lini ukawa na Habari nyeti ?
Mmoja wa walinzi ambaye nampa jina la MASUDI akasema tusidharau wakaingia kwenye camera za scanning
Walianza kuangalia wakagundua kuna mambo wameyachukulia simple na ni Hatari, maana kuna liquid ambazo hawakukagua ni nini wakidhani ni perfume au maji,
Msaidizi wa MASUDI akanyanyua simu akapiga kwa katibu,
Katibu akamwambia kwamba Kuongea na SASHA ni ngumu au security service! sasa ikabidi masudi aache kazi pale Kwakuwa simu imedharauliwa ili akimbie kabisa Kwenda kumwambia ana kwa Ana
Akaenda alipofika, Ikabidi katibu kwa ku sweat haraka ananyanyua simu Kwenda kwa SASHA
ITAENDELEA … Je NISHA ALIKAMATWA???
Siyo wanajua tu, ni Wahusika halisiWatu ambao mnajua mpaka mnakera
Rahisi sana hii codeSiamini kama kweli hii episode inanilaza na code zake zikiwa sizielewi. Where is my binocular
Wewe mkweche wa Mbowe tandika kitanda bwana alaleSiyo wanajua tu, ni Wahusika halisi
Uni tag mkuu TafadhaliIlikotokea: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu
NISHA akaingia kwenye ofisi alipokuwa SASHA, akiwaza kueleza sababu za kumpeleka pale na sababu haikuwa ya msingi ilikuwa kuzuga kuzungumzia Mambo ya Ukataji wa miti kule mzee wa Toronto aliposema patakuwa Kama toronto, ili SASHA anapogeuka tu Unga anao,
Kabla sababu ya kwanini yuko pale SASHA akapokea simu toka kwa KIBAIGWA man, kwamba kuna mtu anataka appointment naye, Ila SASHA akaidharau Hiyo simu, alikuwa ni mvulana mdogo tu anayefanya kazi ya maua kwa Jina maarufu MUHA, akaambiwa kwamba asubirie SASHA mwanaume huyu ana watu wana mazungumzo ofisin, na na vielelezo kabisa,
Kumbe huyu MUHA Ana watu ndani ya CTAR Ambao wanajua kila mipango ovu dhidi ya Boss ila hawako na Jamaa wa miaka ya 70 wala Yule Bos anayewalinda hawa vijana wa miaka Hiyo ambao wanakataa kwamba mtu Haiwezekani atoke Madagascar awe meya South Afrika ,
Akasisitiza Ana jambo la Muhimu sana kumweleza SASHA pale getini na kwa katibu wake wakasema, hii ishu ni kwa utaratibu wa appointment si kukurupuka, maana maeneo yale unaweza pewa kesi kubwa hata ukibishana na dereva tu
MUHA ikabidi amvute pembeni mzee wa kibaigwa, akamwambia ikabidi afunguke Kwamba huyo dada aloingia ndani ana Lexus na nguo za pink Suruali na t shirt atasababisha ama Nusu mlingoti au kwa mujibu wa anavyozinyaka Kama si nusu mlingoti basi ni siku 90 za kuwa hoi,
Hapo hapo wakaampuuza na kuendelea na shughuli zake Kwanza yeye akawekwa chini ya ulinzi kwamba mtu wa maua tena toka Migebuka Lini ukawa na Habari nyeti ?
Mmoja wa walinzi ambaye nampa jina la MASUDI akasema tusidharau wakaingia kwenye camera za scanning
Walianza kuangalia wakagundua kuna mambo wameyachukulia simple na ni Hatari, maana kuna liquid ambazo hawakukagua ni nini wakidhani ni perfume au maji,
Msaidizi wa MASUDI akanyanyua simu akapiga kwa katibu,
Katibu akamwambia kwamba Kuongea na SASHA ni ngumu au security service! sasa ikabidi masudi aache kazi pale Kwakuwa simu imedharauliwa ili akimbie kabisa Kwenda kumwambia ana kwa Ana
Akaenda alipofika, Ikabidi katibu kwa ku sweat haraka ananyanyua simu Kwenda kwa SASHA
ITAENDELEA … Je NISHA ALIKAMATWA???
Isitoshe tu kuwa rahisi. Nipe mwangaza kidogo . Taarifa za ***** ni swala la kuninyima mtz mwenzako?Rahisi sana hii code
Ukilia machozi ya huzuni sana na hasira ngoja tusome mwendelezo
Ukiweza kuelewa Episode ya Kwanza basi umemaliza season yote.Isitoshe tu kuwa rahisi. Nipe mwangaza kidogo . Taarifa za ***** ni swala la kuninyima mtz mwenzako?
Hapa kwenye muha kaniacha sana mkuuMuha ni nani?
ZZK?
Nope tumbiliMuha ni nani?
ZZK?
Yeye tu.. tumsikilizeBritanicca Kwenye Moja Na Mbili Yeye Tu KutuleteA Habari
Vipi bado uko Urusi mkuu?Ilikotokea: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu