Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Kwa akili hizi Kama ni wa kiume basi hata kum-control demu wako ni kazi sana achilia mbali kut&mbew mke wako "kama unae"Wewe unataka JF iendelee kuwepo hewani?
Wewe unataka sote tuendelee kuchat humu kwa uhuru?
Wewe unataka Melo awepo uraiani na kulinda identity zetu?
Kama unataka hayo yote, ungana nami kuunga mkono huu uzi wa Kicode ufutwe haraka, maana ukiendelea hivi unaweza kuleta mpasuko!