Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Nisha:- Moja kati ya mabinti warembo warembo ndani ya Chama na wanaaminika sana!

Anaweza kuwa aidha msanii,mwanamitondo n.k!

Inawezekana hata kwenye safari ya korea ya Sasha alikuwepo kama msanii !sio mtu mgeni hapo nyumba kubwa anaingia na kutoka kama nyumbani!!

Wazoefu wafananishe haiba ya uandishi na warembo wanaoingia ikulu Kila mara!
Kwahiyo siyo yule aliyetoka cbb tena?
Dah!
 
Huyo ni agent si lazima awe mtu mkubwa tunayemjua sana. Tutafute ni mbongo gani mwenye asili ya Rwanda (ambaye ni Rwandese ila anatumia passport ya Tanzania akijifanya mbongo). Ambaye somehow sio myonge mpaka anapanga appointment na Rais, ila pia alipewa kazi si muda mrefu kwenye wadhifa fulani au cheo fulani hata kama ni private sector. Tafuta
Sio Naibu mkuu huyu
 
Huu uzi umenipa wazimu kiasi kwamba simalizi dakika kumi bila kuingia jf. Nina hofu kubwa episode ya mwisho itakaposhushwa itasomwa na watu wachache kisha kufutwa na mods wa jf maana Bri kasema atataja majina sasa dah sipendi inipite kabisa yaani. Kwakuwa raraa reree uko hewani naomba hata kama sitausoma unitunzie
 
Nisha:- Moja kati ya mabinti warembo warembo ndani ya Chama na wanaaminika sana!

Anaweza kuwa aidha msanii,mwanamitondo n.k!

Inawezekana hata kwenye safari ya korea ya Sasha alikuwepo kama msanii !sio mtu mgeni hapo nyumba kubwa anaingia na kutoka kama nyumbani!!

Wazoefu wafananishe haiba ya uandishi na warembo wanaoingia ikulu Kila mara!
Somehow inamake sense flan ivii
 
Huu uzu umenipa wazimu kiasi kwamba simalizi dakika kumi bila kuingia jf. Nina hofu kubwa episode ya mwisho itakaposhushwa itasomwa na watu wachache kisha kufutwa na mods wa jf maana Bri kasema atataja majina sasa dah sipendi inipite kabisa yaani. Kwakuwa raraa reree uko hewani naomba hata kama sitausoma unitunzie
😀😀Inaonekana hyu raraa reree yuko active saana basi na mm asisahau kunitag
 
Nisha:- Moja kati ya mabinti warembo warembo ndani ya Chama na wanaaminika sana!

Anaweza kuwa aidha msanii,mwanamitondo n.k!

Inawezekana hata kwenye safari ya korea ya Sasha alikuwepo kama msanii !sio mtu mgeni hapo nyumba kubwa anaingia na kutoka kama nyumbani!!

Wazoefu wafananishe haiba ya uandishi na warembo wanaoingia ikulu Kila mara!
Ila hapana according to the thread ni kwamba NISHA alhojiwa miezi mitatu nyuma and alwataja walomtuma.....Binti mrembo unayemzungumzia ameendelea na Kaz hata taifa siku ya UVCCM alkuepo....nkiunganisha dots Binti mrembo siyo NISHA
 
Back
Top Bottom