Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Hilo haliwezekani tena mzee! Mkuu yeye ndo anataka report kila saa hatak masihara kabisa ni either ulete report au utumbuliwe.
 
Ukiyasoma maandishi ya mwandishi, kuna uhusiano wa maandishi yale.....

Na mwandishi kama wewe unajua maandishi, basi utaweza kugundua maandishi yale na maandishi haya yote ni sawañ

Utofauti ni mmoja tuu yule anaonekana hana jinsi ila huyu yeye kidogo kifua mbele sema giza likiingia..

Hongera sana sema jitahidi ku switch kidogo maana access kidogo yaweza kuwa granted sema iweke Denied...
 
Kumbe mtoto wa muimba kwaya maarufu jeshini ambaye alikufa bila kujenga alitumia sensa vibaya kujiandaa. Na zile helicopter zake za ukaguzi.
Na mtoto njaa ya kwanza aliiba kwenye umeme. Sasa ningependa kujua walipanga kujigawia vipi madaraka, nani awe Rais nani Makamu nani Waziri Mkuu.

Hivi tukienda kwenye konakona mzee mlezi wa mdhamini wa Yanga hapatikani kwenye formula?

Huyo wa Mbeya ni leta fujo au mahindi? Maana mahindi kaondolewa pia.
Nasubiri kujua hao Waarabu wanne ni kina nani. Na hao SG watatu.
 
Mzee mlezi hawezi kukosekana kwenye mchezo huu,tena huwenda yeye ndie mchezeshaji na anacheza na kuchezesha kwa akili nyingi , rejea msemo wake wa maharibiko kati ya kipindi kile na kijacho ndio yamtoa kwenye reli aliyeko relini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…