Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
Aiseee, mambo ya kutisha sanaURUSI anasema hivo kupoteza watu ili asifahamike. Team Lowasa hawana kundi ndio maa SASHA a.k.a SA-SU-HA ameamua afanye nae kazi. Maana nirahis kuwacontrol maana Godfather wao hayupo. Ndio maana ni ngumu SASHA kumtumbua SHEAB ndugu yake Mzee wa nje ya box.