Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Nilivyoelwa hapa ni kuwa, kulikuwa na mpango wa kum-fix Bi. Mkubwa na wahusika ni wale Wahanga wa hivi karibuni.

Kama sio Bi. Mkubwa, basi target atakuwa mtu mwingine wa hadhi ya juu lakini sio bwana Kondakta japo bwana Kondakta anatajwa kuwa na ugomvi na vijana hao wa miaka ya 70.

NB: Vijana wa miaka ya 70 pia wanaweza kuwa ni Vijana wa kazi ndani ya kitengo.

Hii issue inaonekana ni sensitive na ilimlenga mtu mkubwa sana.
Duh
 
Simu ilipoita akapokea Sauti ni Yule Mzee MABENDERA akaongea kwa kuuliza kwanza Hali yako mwanamgu ,NISHA akasema safi sana,
MABENDERA Akauliza Usalama upo?
NISHA Akajibu clear yaan hakuna shida.

huku TWISHI wakirekodi ujumbe ambao ulisema hivi kutoka kwa MABENDERA bila kujua Jamaa yuko BYENJANGU.

“Shughuli inatakiwa kukamilika mapema kabla ya vikao vya vile (aliongea kwa fumbo) ambavyo ndo vita kuwa na tathmin ya mwenendo wake Kama Ana uwezo wa kuendelea ama lah na inabidi kuhesabu miezi sita kabla ya mkusanyiko Kwakuwa hapo akishaonekana hawezi akashindwa kutimiza majukumu inakuwa ndo kwisha habari jitahidi ufanikiwe suala hili” alimalizia Huku bila kujua amesikilizwa na wengine na NISHA akijibu kwa shinikizo, Huku Safari ikiendelea,

Baada ya kufika huko wakamuhoji sana kuhusu mpango husika na kwanini hasa alitaja sababu zilezile zilizooneshwa awali, sasa TWISHI wakaamua wambackmail yeye kwamba hizi taarifa BOSS hana Ila wanataka yeye awasaidie kupata taarifa za wanaomtuma kwa kumuahidi ulinzi na pia kumpa support ya mazingira anayotaka awe comfortable kufanya kazi , ndani ya week Walikuwa wana mmnonitor sana kila movement yake na wakapata taarifa za kila mtu na tarehe ilopangwa na kikao gani na kwanini wanatumia ZOLA chat inayofuta baada ya nusu saa mlichojadiliana na si ya CTRA hawawezi ijua, wakagundua

Kijana mmoja wa miaka ya 70
Amekusanya Pesa kubwa sana kutokana na GLOPU yaan Pesa ya kutosha sana kwa mikataba kadhaa ya kuboresha GLOPU kumbe ni ya Ulaghai, alipoamishiwa kwingine alikusanya Wamanga wote wawakilishi wa kila kiota na waliohama kwa mama zao wakienda kujitaftia chakula kwa viota vingine wakachangua ujira mwiha, wakati wakichangia yeye anaongea kwamba sioni Boss akitoboa nusu ya CHUMUNI, mmoja akarekodi akatuma, na huyo aliyerekodi NISHA na audio, ikawa imepelekea kujua kwamba kuna hili na kile, likaletwa faili kwamba kwenye kutunza UJIRA MWIHA anayeshika mikoba alikuwa MD wa BENK moja ya ushirikiano ambapo ilishababishaga mwanasheria mmoja atolewe nje akiwa amebebwa akipinga BENK Hiyo kuuzwa kipindi cha LOFALODI

Kijana mwingine wa Miaka ya 70 yeye kwanza angezaliwa DRC Kama si Fally pupa basi ni Fere Gola kwa rhumba, huyu alikuwa kitengo cha visikilizia masikio na alitumia na kuwafundisha wana afrika kusini mitaa yao ikoje, hilo somo tu limetumia zaidi Pesa za kughushi, Huku akikusanya za NUSU CHUMUNI boss asitoboe, taarifa zote zikanyakwa! Mpaka kuna bajet ya ambao wana afrika kusini ilibidi awaelekeze kutokea juu kabisa kwa hewa waelewe vizuri mitaa yao! Akaenda kwenye visikilizia masikio, badala zitumike njiti 5 za masikio yeye akawa anawaambia waandike zimetumika 15 ili masikio yasikie vema !

Akaanza vikao vimefanyika vikao zaidi ya 30 kwa Mzee wa FIRIGISI kule kwa waongea kizuru na yeye ndo alipata elimu tu miaka Hiyo na alipoambiwa akawa anachanganya na zake

Basi baada ya kugundua uchafu wote huo ikabidi Taasisi iwasilishe Report ya kiuchunguzi na walichobaini,

Wakagundua watu hawa ni Hatari
1. Mwanaume wa 70+
2. Mwanaume wa 70+. 2
3. Jamaa mkubwa sana TWISHIII
4. Mzee wa BANDARI
5. NISHA
6. MZEE WA FIRIGISI
7. WA MAGNET GANG WATATU
8. MAPINGILI SHINGONI alihisiwa kwa kuwa alitajwa Mara moja kwenye ishu ya NAMDI
9. YALE YA MBEYA NAYO YALITAJWA MAANA YANARUKARUKA SANA WAKATI WA KUIVA
10. WAFADHILI WANNE WA HAPO KWENYE NGAMIA MMOJA ANAKWENDAGA SANA KUSINI
11. GENZ , huyu nimempa jina hili Kwakuwa ameshtumiwa kwa kuhisiwa tu ila hakutajwa popote, kilichofanya aangaliwe ni kijana kabisa wa mmoja wa niliotaja juu,

baada ya hapo akawa anakuwa terminated mmoja mmoja na kuwafanya wawe surprised kwanini hatua hizi,
Mpaka sasa NISHA anaendelea kuongeza mambo na kutoa ushirikiano chini ya ulinzi ambao aliyekunywa ulanzi hawezi Jua Kama yuko chini ya Ulinzi,

Hii ya kumzuia MUHA asiingie inaonesha kwamba tuwe makin sana si kila unayemfukuza ni anakuwa mbaya ,

Katika kumchunguza MUHA wakajua ni mtu aliyesomea mambo ya Intel naye Yupo pale kwenye kusafisha maua miezi zaid ya nane Lakin Mwanzoni walikuwa wamemkatalia kwamba yeye Boss anataka watu wa Madagaskar Kwakuwa wa South afrika hawana maadili, baadae ikaja kuonekana ndo kaokoa jahazi maana bila yeye hali ingekuwa mbaya zaidi ,

BOSS ANAOGOPA MNOOO MNOOO HATA MAJI HANYWI HATA WALE WALOKUWA WANANPA CHAKULA NA KUPIGA NAO SOGA ANAWAOGOPA MPAKA SASA NA WENGINE KAWABADILISHA WOTE MAJUKUMU PALE KWENYE OFIS YA MEYA

NUSU CHUMUNI PAGUMU UPUKUTISHAJI UNAENDELEA, MEYA ANAOGOPA HADI MJUSI

BRITANICCA
Lamomy nililala shost ndio naamka hivi fanya unifafanulie hizo codes za leo metoka kapa
 
Back
Top Bottom