Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Ndio maana hata niliwahi kusema wakati ule Magufuli alidhani maadui zake wakubwa ni CHADEMA kumbe ni wale wale anaokuwa nao mezani kila siku.

Ni wakati wa kubadili katiba na kuweka mipaka ya kimamlaka ili mtu akiivuka basi awajibishwe na sio kutumia njia kama hizo.
 
Ndio maana hata niliwahi kusema wakati ule Magufuli alidhani maadui zake wakubwa ni CHADEMA kumbe ni wale wale anaokuwa nao mezani kila siku.

Ni wakati wa kubadili katiba na kuweka mipaka ya kimamlaka ili mtu akiivuka basi awajibishwe na sio kutumia njia kama hizo.
Magufuli na CHADEMA wameingiaje kwenye hii hadithi
 
Nadhani kitengo wamekosea sana kama wamemtaarifu Sasha hii ishu!

Kama wapo loyal kwake wasingemwambia bali wangekua wanapambana tu kimya kimya na kumpa maelekezo Nini Cha kufanya akiuliza kwanini anajibiwa "Kwa ajili ya mstakabali ya awamu Yako ya pili 2025-2030,tukikwambia tutaharibu plan nzima"!!

Sasa wamwesha mwambia na wame strike fear of the unknowns Kwa hiyo mamba Moja Hana ujasiri tena wa kuongoza na hapo ndipo anguko lake lilipo"!

sasa bas

Kuanzia Sasa wasimwmbie Tena chochote!!

Watulie TU wapambane na wahuni na wampe maelekezo tu Nini Cha kufanya bila detail ya Nini kinaendelea!!

Hadi hapo team wahuni wameshafanikiwa Kwa asilimia kubwa coz wameleta taharuki ndani ya system!

Ubaya ubwela!Simba day!
Nop


Nyama awezi pewa kapewa mifupa tu

Now ni kimya kimya vitasa

Yule miwani na mwandishi wa misemo yu wap pale Ofisi ya Meya simwoni Muda
 
Vijana wa miaka ya 70😏
1721803703939.jpg
 
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.

Tanzania Tanzania
Ninapokwenda safarini
Kutazama maajabu Biashara nayo makazi
Sitaweza kusahau mimi mambo mema ya kwetu kabisa
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.

Tanzania Tanzania
Watu wako ni wema sana
Nchi nyingi zakuota nuru yako hakuna tena
Na wageni wa kukimbilia ngome yako imara kweli wee
Tanzania Tanzania
Heri yako kwa mataifa.

Tanzania Tanzania
Karibu wasio na kwao
Wenye shida na taabu
Kukimbizwa na walowezi
Tanzania yawakaribisha
Tuungane kiume chema wee
Tanzania Tanzania
Mola awe na we daima.

THE STATE ST PETERS SAIGON GAB ROOM NO26 JWTZ TISS.
[emoji433][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Daah stupid.

how dare unachomelea shit zako kwenye wimbo wa taifa??????
 
Back
Top Bottom