Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Aiseee, mambo ya kutisha sana
 
Mkuu hivi Gilbert Masawee si ni huyo huyo Britannica au???
Hapana

Gilbert Massawe ni Mkulima huku Katavi

Karibu mkuu ila Mimi ni mfuasi wa TumainEl, Kada mwenzangu Britannica na Pascal Mayala

Jamaa zangu ni Akina Stroke, Etwege, king Kong, Faiza 😋😋😋.


Rick boy nk

Nalaani account yangu ya 2007 niliipoteza kwa kuandika Ishu za Escro...


Ila fresh tu
 
😂😂😂😂 Aya bhana sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…