Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Yaani show ya alikiba 25,000/=?, pili kwa nn alienda hadi Dodoma kama alikuwa hajalipwa hela yake yote tatu idadi ya mashabiki ukumbin si kazi ya msanii kujua ni wangapi wameingia cha muhimu mshiko mlikubaliana na promoter umelipwa bac piga show. Hii inadhihirisha Ally kiba plus management yako hawako serious wakati huohuo anataka afananishwe na diamond. Kwa mtindo huo inaleta sense kwel
 
Majirani zetu wapo bize wanaomba picha za wima[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wanasahau kuhudhuria show
 
Ndo mana sikuskia muziki jaaaana,kumbe alichelewa,hadi nikajiuliza lile gari la matangazo lilidanganya au? kumbe alichelewa,Duh!!!
 
Ndo mana sikuskia muziki jaaaana,kumbe alichelewa,hadi nikajiuliza lile gari la matangazo lilidanganya au? kumbe alichelewa,Duh!!!
Show ilikuwa na kiingilia kikubwa then hawakuitangaza na sehemu yenyewe haikuwa na hadhi hiyo ndo maana mrejesho idadi ya watu ikawa ndogo tena ukizingatia ni mkoani
 
Hahahah afu waseme eti wanafanyiwa fitna
 

Mkuu @ brave one hii photo siyo Dodoma ni kampala. Dodoma hajapata people kama hao na show ya Dodoma Kibaka hajapost,katazame kwa akaunti yake ya Instagram.
 

Mkuu @ brave one hii photo siyo Dodoma ni kampala. Dodoma hajapata people kama hao na show ya Dodoma Kibaka hajapost,katazame kwa akaunti yake ya Instagram.
Ni kweli mkuu hiyo pic ni kutoka maktaba tu
 
Kiba amefeli,kitendo tu cha kuahirisha show kinaonesha kuwa hana watu makini.
Eti kafika dodoma saa7 usiku kwani hakujua kama anatakiwa ku perform siku hiyo?Ndege zimejaa Terminal I,zinasubiri wakodishaji kwa nini asichukue ndege fasta akawahi show.

Eti hakumaliziwa chake!!Ebo yaani kiba amekuwa kama Francis cheka sasa?Diamond humtoi madale bila kuingiza milioni 50 kwenye akaunti yake,tena mpaka apate msg ya simu salio limeingia,wakati huo ndege ipo silence inamsubiri.

Kiba ana kazi ngumu sana ya kufanya,na hiyo tarehe 28 hakuna show,ndio imetoka hiyo
 
Tatizo Diamond anamfanyia sana Kiba figisu. Ukifuatilia utagundua WCB walituma watu Dodoma kwenda kuharibu show. Lakini King akaushtukia mchezo akakataa kuperform
Hahaaa sio mtu mzuri wewe
 
Jana hakukua na show dodoma acha umbea wa kitoto

Kuropoka ndo ajira yetu na ambavyo ajira za walimu wa arts zimefungwa naona topc y threats of the world peace ina Fany kaziii,,,,umeona wap kweny account y kiba kapost show Dodoma ?????

Acheni uwongo Alli hakua na shoo jana me nipo dodoma apa jana kulikua na shoo ya Mc pilipili tu pale royal village na trh 24 alikua darasa dodoma royal village..
acheni ubishi n video imewekwa kwny a.c ya bossngassadodoma insta
 
ali kiba bado sana,nashangaa wanaompambanisha na diamond.
Kama alikua na show dodoma mbona hata kuitangaza hajaitangaza yeye kama yeye
 
jamani naona mipovu tu ila ikweli no huu.Kingkiba alikuwa na show trh25/12 kweli ila haikufanyika imepangwa trh28/12
 
Iwe habari sahihi au si sahihi,lakini wewe unaonaje "kwa hadhi" mnayompa ya "king" ku perfom kwenye ukumbi unaochukua watu 100 iko sawa hiyo ???
Nenda kwenye page ya udaku insta wameweka video yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…