Alikiba- Aje (Official Video)

Alikiba- Aje (Official Video)

Cjaona tembo,chui wala panya..hakunakiti hapo M.I yupo wap?
 
This is ally kiba vidio is very nice asante kiba kwa vidio kali kuwahi kutokea
 
Video mbovu.... MI aliibeba nyimbo amemtoa kiba amezingua.
 
mbonge la ngoma bonge la video..!!uzuri wa Kiba ana sauti inayotune kwenye kila genre ya muziki bahati nzuri ni fundi wakutumia sauti aliyonayo
 
Huyu jamaq ni fundi aiseee mixa sony saiv hahahaha naona dalili ya team flan kuanza kutetemeka
 
Video kali
MI kuto kuepo sja furah

Ila furesh tyuu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Amejitahidi,Mungu amfunulie zaidi afike mahala Fulani,kudos
 
Kwanza kabisa kwa Mara ya Kwanza Ali Kiba ametoa video nzuri yenye mashiko.
Video na wimbo vimeendana sana. Na hata aliyekuandalia screen play and Choreography Mhh yuko vizuri.
Sasa Kiba aisije haribu aisee. Maana kwenye Mwana na Cheketa alituumiza wapenzi wa nyimbo.
Nyimbo zilikuwa nzuri saaana lakini video siyo nzuri sana.
Bwana Kiba kama muendelezo utakuwa ndiyo huu basi nina uhakika ushindani wako na Diamond utakuwa Even kabisa.
Na hapo ni lazima muziki wa Bongo utasonga mbele.
Kudos Kiba.

Kwa wale wenzangu timu wasafi,
Hii video imetunyoosha sana. Lakini hakuna namna tunajikaza kisabuni na kusonga mbele.
😀😀😀😀😀😀😀
Majeraha kwenye vita ni kitu cha kawaida sana.
Na sisi tutatoa na Celine Dion sasa
 
hivi pale kati alisema how could I find you?

video nzuri sasa ni wakati wake atoe nyimbo ambazo zinachezeka ili akiandaa shoo atleast ukumbi uchangamke. Maana huko ndio tageti ya wasanii kukusanya mapene.
 
hivi pale kati alisema how could I find you?

video nzuri sasa ni wakati wake atoe nyimbo ambazo zinachezeka ili akiandaa shoo atleast ukumbi uchangamke. Maana huko ndio tageti ya wasanii kukusanya mapene.
duh wabongo kazi kweli, kina celine dion wanajaza kumbi wanachezaga au?
 
Video kali sana ila kukosekana kwa M.I kwenye video kumeniboa....#music is an art..#no affiliation.
 
Back
Top Bottom